AVEVA NDIYE RAIS MPYA SIMBA SC
Amin Bakhresa akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC. Evance Aveva akishukuru baada ya kutangazwa kuwa Rais mpya wa klabu ya Simba na kuchukua mikoba ya Ismail Aden Rage, aliyemaliza muda wake wa miaka minne.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Jenerali Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Muhammad Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria
10 years ago
Dewji Blog31 Mar
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE: Muhammad Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria
Pichani ni Jenerali Muhammadu Buhari akiwa katika wakati wa kampeni muda mfupi kabla ya kupiga kura.
Kiongozi wa wa chama cha upinzani cha Nigeria jenerali Muhammadu Buhari ameshinda kura za urais na kumuondoa rais aliyeko Goodluck Jonathan mamlakani.
Tayari rais anayeondoka madarakani Goodluck Jonathan amekwisha mpigia simu mpinzani wake Jenerali Buhari na kumpongeza kwa ushindi huo wa kihistoria.
Hii ndiyo mara kwanza katika historia ya taifa hilo kwa rais wa nchi hiyo kung’olewa...
11 years ago
TheCitizen26 Jun
Aveva: My vision for Simba SC
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4O6eIqcn6-6FkekzZOfyDvFczsLScAm52e4GyrK3*W6vVohMnRotWCxeUCV3BY74oE-7xUdnQCjM3toUmjrQ8*zgtdL*Ll-U/AVEVAcopy.jpg?width=650)
Aveva historia Simba
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Aveva: Sitaki nongwa Simba
UONGOZI wa Klabu ya Simba chini ya Rais Evans Aveva, umesema hauna muda wa kupoteza katika kulumbana na yeyote, badala yake unajikita katika mambo muhimu ikiwemo maandalizi ya timu yao...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oto4-hHdKDHacOvqFsn5IuahHuhF*WjuyZQc1eGGwsxRHci8maEeYtuYqomacXkgCHXuGLSCQPkqpAMbZnQdDVaw34KOBbs4/simba2.gif?width=650)
Aveva kumtumia Maximo Simba
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Aveva: Tambwe haondoki Simba
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Aveva aanza na makundi Simba
RAIS mpya wa klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Evans Aveva, amesema kazi ya kwanza anayoanza nayo ni kuvunja makundi yaliyoibuka kipindi cha uchaguzi, ili kuunganisha nguvu za...