Aveva kumtumia Maximo Simba
![](http://api.ning.com:80/files/oto4-hHdKDHacOvqFsn5IuahHuhF*WjuyZQc1eGGwsxRHci8maEeYtuYqomacXkgCHXuGLSCQPkqpAMbZnQdDVaw34KOBbs4/simba2.gif?width=650)
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva akipokelewa na mashabiki wa timu ya Simba SC. Na Wilbert Molandi RAIS mpya wa Simba, Evans Aveva, amesema moja ya mikakati atakayoanzanayo ni kutengeneza mfumo mzuri wa kuunda timu imara ya vijana ya U20. Mkakati huo wa kuandaa timu bora ya vijana kwa mara ya kwanza aliutangaza Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, wakati anatambulishwa na viongozi wa timu hiyo. Akizungumza na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4O6eIqcn6-6FkekzZOfyDvFczsLScAm52e4GyrK3*W6vVohMnRotWCxeUCV3BY74oE-7xUdnQCjM3toUmjrQ8*zgtdL*Ll-U/AVEVAcopy.jpg?width=650)
Aveva historia Simba
11 years ago
TheCitizen26 Jun
Aveva: My vision for Simba SC
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Aveva: Tambwe haondoki Simba
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Aveva: Sitaki nongwa Simba
UONGOZI wa Klabu ya Simba chini ya Rais Evans Aveva, umesema hauna muda wa kupoteza katika kulumbana na yeyote, badala yake unajikita katika mambo muhimu ikiwemo maandalizi ya timu yao...
10 years ago
TheCitizen11 Sep
Mosoti a Simba player for now: Aveva
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Aveva aanza na makundi Simba
RAIS mpya wa klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Evans Aveva, amesema kazi ya kwanza anayoanza nayo ni kuvunja makundi yaliyoibuka kipindi cha uchaguzi, ili kuunganisha nguvu za...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Aveva azindua kampeni Simba
MGOMBEA urais wa klabu ya Simba katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Jumapili, Evans Aveva, jana amezindua kampeni kwa kutangaza vipaumbele vyake kama atashinda nafasi hiyo, ikiwamo kuvunja makundi baada ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39eGy*mUm4DVJjc1Xd9CyK85GxAKeKWdl4ERaqUJ8V19**HGAeI9itSSWw8NE5S8R7ECKxpG9tN3Pm0**7oYffMc/simba2.gif?width=650)
Aveva aweka rekodi ya urais Simba
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Aveva: Sina mpango wa kujiuzulu Simba