Avril ni zaidi ya unavyomjua
Habari kubwa inayohusu wasanii wa kike kwa Afrika Mashariki kwa sasa inamhusu mwanadada Avril, hasa baada ya kuwaunganisha watayarishaji wa nchini mbili, Kenya na Tanzania na kutayarisha kazi moja inayokwenda kwa jina la ‘Hallo Baby’.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
SALMA MSANGI: KULIKO UNAVYOMJUA NA ULIVYOWAHI KUMSIKIA [INTERVIEW]

Ninachokiongelea hapo juu kina ukweli zaidi katika maisha ya Salma Msangi ambaye leo kwa wengi ni mtangazaji wa luninga na radio mwenye tabasamu zito, wepesi wa kuelewa mazingira na mwenye kuipenda kazi yake na kuwapenda mashabiki,watazamaji wa vipindi vyake vya kwenye luninga...
11 years ago
Bongo503 Nov
New Music: Avril (Kenya) — Nikimuona
10 years ago
Vijimambo25 Sep
NINGEFANYAJE-BEN POL FT AVRIL
Ben Pol has taken part in Coke Studio Season 3 which will be aired on 10th October, 2015 and Ningefanyaje is among the songs he performs with a live band of Coke Studio in Nairobi, Kenya. On Coke Studio Ben Pol is paired and collaborated with...
10 years ago
GPL20 Jan
9 years ago
Africanjam.Com
NEW MUSIC: AVRIL - NO STRESS ft. AY (Download)

No Stress Avril ft. Ay Free Download MP3 and Video
Avril is a Kenyan songstress who has been doing very well in the music industry east Africa. Some times ago, actually some years back, ay the hip hop star from Tanzania bongo had featured avril in the song Leo remix.This time round, avril Kenya has featured Ay in her song, named No Stress. The track has a 1980’s touch in the beat and its a really dancebal song, if I may say. Willy M. Tuva, the host of east Africa’s greatest show, mambo mseto...
10 years ago
GPL18 Nov
9 years ago
Bongo519 Nov
Avril afikiria kuingia kwenye utangazaji wa TV

Muimbaji wa Kenya, Avril huenda siku za usoni akaonekana kwenye screen yako akiendesha kipindi cha TV.
Avril ameiambia Word Is ya gazeti la The Star la Kenya kuwa amekuwa akifuatwa na watu wengi wanaompa ofa ya kufanya talk show lakini bado hajazitilia maanani.
Yeye mwenyewe pia amesema kwa muda mrefu amekuwa akivutiwa kuendesha kipindi cha TV na kuna uwezekano wa kufanya hivyo siku za usoni.
“Ingawa muziki ni kitu ninachokipenda zaidi, nimewahi kupenda televisheni pia. Labda siku za usoni...
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Avril ndiye mvaaji bora Kenya
NAIROBI, Kenya
MSANII wa muziki nchini Kenya, Judith Mwangi ‘Avril’, wiki iliyopita ameshinda tuzo ya msanii bora anayejua kuvaa vizuri kwa upande wa wanawake.
Tuzo hizo ziliandaliwa na kampuni ya Jumia Kenya Glamour ya nchini humo ambayo imemuwezesha kuwashinda wasanii wa kike wote nchini humo.
“Nashukuru kupata tuzo hiyo, ninaamini kuwa watu wananitazama na ndiyo maana nimepewa tuzo hiyo, huu ni wakati wa watu kujifunza kutoka kwangu,” alisema Avril.