Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Avril ndiye mvaaji bora Kenya

Avril1 Judith Nyambura MwangiNAIROBI, Kenya

MSANII wa muziki nchini Kenya, Judith Mwangi ‘Avril’, wiki iliyopita ameshinda tuzo ya msanii bora anayejua kuvaa vizuri kwa upande wa wanawake.

Tuzo hizo ziliandaliwa na kampuni ya Jumia Kenya Glamour ya nchini humo ambayo imemuwezesha kuwashinda wasanii wa kike wote nchini humo.

“Nashukuru kupata tuzo hiyo, ninaamini kuwa watu wananitazama na ndiyo maana nimepewa tuzo hiyo, huu ni wakati wa watu kujifunza kutoka kwangu,” alisema Avril.

 

 

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Shaa asema amefanya Collabo na Redsan baada ya kugundua ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya, AY ndiye aliyewaunganisha

Baada ya kuachia video mpya ‘Njoo’ iliyoongozwa na director Enos Olik, Shaa amezungumzia mambo kadhaa kuhusu collabo hiyo mpya na star mkubwa wa Kenya, Redsan ikiwemo sababu za kumchagua kumshirikisha pamoja na mtu aliyemsaidia kumpata Redsan kiurahisi na kufanya nae kazi. Shaa amesema baada ya kufanya utafiti aligundua Redsan ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya ambaye […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Avril (Kenya) — Nikimuona

Sikiliza wimbo mpya wa msanii wa Kenya, Avril uitwao ‘Nikimuona’.

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol na Avril wa Kenya kuja na collabo!

Ben Pol na muimbaji mrembo wa Kenya, Avril huenda wakaingia ama tayari wameingia studio kurekodi ngoma ya pamoja. Wawili hao wameshare picha kwenye akaunti zao za Instagram na kuelezea kile kinachowezekana kuwa ni ujio wa collabo yao. “Throwback hanging out with the talented @iambenpol…we just might have a surprise for you. #255 #254,” ameandika Avril. […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Ronaldo Ajigamba ndiye mchezaji bora

Mimi ndiye mchezaji bora ulimwenguni, amejigamba Cristiano Ronaldo. Mreno huyo mwenye miaka 30 ambaye ni mshindi mara tatu wa mchezaji bora wa dunia

 

11 years ago

BBCSwahili

Toure ndiye bora zaidi Afrika

Ashinda tuzo ya BBC ya mwanasoka mahiri Afrika

 

10 years ago

Bongo5

Rich Mavoko asainishwa na kampuni ya usimamizi ya Kenya inayomsimia pia Avril

Rich Mavoko amesaini mkataba na kampuni ya usimamizi ya Kenya iitwayo Kaka Empire iliyoanzishwa na rapper Rabbit. Kampuni hiyo pia inawasimamia wasanii wa Kenya akiwemo Avril, Raj, FemiOne na Owago. Mavoko ameiambia Bongo5 kuwa kampuni hiyo itakuwa ikisimamia kazi zake zote kwa upande wa Kenya peke yake. Amedai kuwa uamuzi wa kuamua kuwa chini ya […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Suarez ndiye mchezaji bora katika EPL

Mshambulizi wa Liverpool Luis Suarez ni mchezaji bora msimu huu nchini Uingereza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tim Sherwood:'Benteke ndiye bora Ulaya'

Christian Benteke ndiyo mshambuliaji bora Ulaya kulingana na Kocha wa Aston Villa Tim Sherwood.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Avril wa Kenya na kivazi cha mitego kilichomuweka kwenye ‘headlines’ weeked iliyopita

Avril , mwimbaji mrembo wa Kenya weekend iliyopita alimua kuonesha kile Mungu alichomjaalia (uzuri) kwa kuvaa kivazi cha ‘mitego’ alipotumbuiza kwenye tamasha la Extravagaza Concert. Arvil alishare picha hizo Instagram na kuandika kwenye moja wapo ya picha “Awesome night at #ExtravaganzaKE !!! Thank you @achieotigo for the fabulous dress shirt. Let me sit and see […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani