Azam, Ashanti Utd kupima ‘tiketi za umeme’ Ligi Kuu
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetangaza mechi mbili za majaribio ya mfumo wa uuzaji tiketi za kielektroniki unaotarajiwa kutumika kuanzia mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom utakaoanza kutimua...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Ununuzi tiketi mechi Ligi Kuu kudhibitiwa
ZIKISALIA wiki chache kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu ya soka Tanzania bara, Benki ya CRDB imesema chini ya mfumo mpya wa elektroniki, idadi ya mwisho ya kununua tiketi kwa...
10 years ago
StarTV03 Dec
Ligi Kuu ya Uingereza, Man Utd na Liverpool zatakata.
Ligi ya kuu ya England iliendelea jana usiku katika viwanja mbali mbali. Leicester inayoburuza mkia katika ligi hiyo ikiwa na pointi 10 katika michezo 14 iliyocheza waliikaribisha Liverpool ambayo iliibuka na u
shindi wa magoli 3-1 katika mechi hiyo. Hadi kumalizikakwa kipindi cha kwanza timu hizo zilikuwa zimefungana goli 1-1.
Kwa matokeo hayo Liverpool imeshika nafasi ya 8 nyuma ya Asernal , zote zikiwa na pointi 20. Hata hivyo Asernal imecheza mchezo mmoja pungufu ya Liverpool yenye...
10 years ago
StarTV10 May
Ligi Kuu Uingereza, Man Utd yaipiga Crystal Palace 2-1.
Marouane Fellaini alifunga bao la ushindi katika kipindi cha pili cha mechi dhidi ya Crystal Palace na kuipatia Manchester United ushindi wa kufuzu katika kombe la vilabu bingwa Ulaya.
Ashley Young ndiye aliyesaidia pakubwa katika mabao yote mawili baada ya kumnawisha mpira beki wa Crystal Palace na kupata penalti iliofungwa na Juan Mata na baadaye kutoa pasi nzuri iliotiwa kimywani na Fellaini kunako dakika ya 77.
katika matokeo mengine
Everton 0 – 2 Sunderland
Aston Villa 1 – 0 West...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoYgv82AiBZc3JayP58LzO*MdzqEZPkENxwDoKPjBM*ZoQQgwVaL3DU*6wnTXROlUMI9KaBCwz3wDhNV-PVAHmht/MANUTD8.jpg?width=650)
MAN UTD YATINGA TATU BORA LIGI KUU ENGLAND