Azam FC kuwakosa nyota wake sita
Timu ya Azam FC itawakosa nyota wake wanne tegemeo katika pambano la Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) dhidi ya Ferroviario Da Beira ya Msumbiji litakalopigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Azam yawapiga kufuri nyota wake
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Nyota Azam kujazwa noti
10 years ago
Mtanzania23 May
Yanga yawatuliza nyota wake
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wamepanga kuwatuliza nyota wao kwa kuanzisha mipango endelevu ndani ya klabu hiyo ambayo itawahamasisha na kuwavutia kuendelea kuitumikia timu yao kwa mafanikio msimu ujao.
Kwa sasa Yanga inajiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) itakayofanyika Julai, mwaka huu nchini.
Lakini baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu Mei 9 mwaka huu, Yanga wameendelea kuvuta subira kwenye usajili...
10 years ago
Michuzi
WANASOKA NYOTA WA ZAMANI WAMTEMBELEA MTANGAZAJI WA AZAM Media CHARLES HILARY KAZINI KWAKE



11 years ago
Mwananchi03 Sep
Yanga yazuia nyota wake Stars
10 years ago
Mtanzania09 Sep
Kerr awapa somo nyota wake
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Daylan Kerr, amewapa somo nyota wake kuhakikisha wanapeana maelekezo ya kiufundi wenyewe kwa wenyewe wakiwa dimbani, kwa lengo la kukabiliana na upinzani wa timu yoyote ili timu itoke na ushindi.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kerr alisema ameamua kufanya mabadiliko kidogo ya ufundishaji, ambapo wachezaji wanaoonyesha kuelewa zaidi mazoezini, watakuwa na jukumu la kuwasaidia wanaoshindwa.
Kerr alisema muda uliobakia kabla ya...
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Yanga yachimba mkwara nyota wake
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Kerr atupia zigo la lawama nyota wake
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, amewatupia lawama nyota wake kuwa ndio chanzo cha mwenendo mbaya wa klabu hiyo katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kauli ya Kerr imekuja siku chache baada ya tetesi za kutumuliwa kwake kuzidi kushika kasi, kutokana na matokeo yasiyoridhisha ambayo yamekuwa yakiiandama timu hiyo katika siku za karibuni.
Simba inashika nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu, ikiwa na jumla ya pointi 24, hadi sasa imefanikiwa...