Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yawatuliza nyota wake

NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wamepanga kuwatuliza nyota wao kwa kuanzisha mipango endelevu ndani ya klabu hiyo ambayo itawahamasisha na kuwavutia kuendelea kuitumikia timu yao kwa mafanikio msimu ujao.
Kwa sasa Yanga inajiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) itakayofanyika Julai, mwaka huu nchini.
Lakini baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu Mei 9 mwaka huu, Yanga wameendelea kuvuta subira kwenye usajili...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga yachimba mkwara nyota wake

Uongozi wa Yanga umetema ‘cheche’ kwa wachezaji wenye nidhamu mbovu kuwa watakumbana na adhabu kali ikiwezekana zaidi ya ile aliyopewa kiungo wao, Athuman Idd Chuji.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yazuia nyota wake Stars

Klabu ya Yanga imewazuia wachezaji wake watatu kujiunga na kambi ya timu ya Taifa, Taifa Stars, hadi pale watakapomaliza mechi yao ya leo dhidi ya Thika United ya Kenya.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm ataka nidhamu kwa nyota wake Yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanacheza na Mbeya City leo kwenye Uwanja wa Sokoine, lakini kocha wao mkuu, Hans Pluijm amewaambia vijana wake ili mchezo huo uwe na manufaa kwao, waache na utovu wa nidhamu, wasiwaige wapinzani wao.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota Yanga wamlilia Jaja

Wachezaji wa Yanga wamepokea kwa mshtuko taarifa ya kuondoka kwa mshambuliaji Genilson Santos ‘Jaja’.

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota Yanga nusura wazichape

Mazoezi magumu ya kocha Hans Pluijm nusura yawatokee puani mshambuliaji raia wa Mzimbabwe, Donald Ngoma na beki Juma Abdul ambao nusura wazichape kavu kavu.

 

10 years ago

Mwananchi

Pluijm awaonya nyota Yanga

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amewaambia wachezaji wake wakizingua na yeye atawazingua, kwani hakuna mwenye namba ya kudumu ndani ya kikosi hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota 10 Simba, Yanga sokoni

Wakati dirisha dogo la usajili wa Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi Daraja la Kwanza linafunguliwa leo, wachezaji 10 wa Simba na Yanga wapo sokoni na klabu yoyote ruksa kuwanunua.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga yaanika nyota Kagame

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, jana alitangaza kikosi kitakachokwenda mjini Kigali, Rwanda kucheza michuano ya Kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi Agosti 8. Akizungumza jijini Dar...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam FC kuwakosa nyota wake sita

Timu ya Azam FC itawakosa nyota wake wanne tegemeo katika pambano la Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) dhidi ya Ferroviario Da Beira ya Msumbiji litakalopigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani