Azam yakaribia kumnasa Kasule
Azam imeanza mchakato wa kumsajili kiungo wa Uganda anayekipiga katika klabu ya URA ya nchini humo, Owen Kasule ili imtumia kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania bara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Azam FC yatenga dola 70,000 kumnasa Olunga
UONGOZI wa Azam FC umemtengea dola elfu 70,000 kwa mshambuliaji wa Gor Mahia Michael Olunga na mshahara wa dola elfu nane ili aweze kutua katika klabu hiyo.
Mshambuliaji huyo ambaye anawaniwa na pia na Simba ameonekana mshambuliaji hatari katika michuano hiyo, baada ya kuonyesha uwezo kwa kufunga mabao matatu katika michezo miwili.
Simba awali walitangaza kumsajili mchezaji huyo kwa dola 20,000.
Habari kutoka ndani ya Azam FC zilieleza kuwa uongozi wa klabu hiyo umetenga dola...
11 years ago
Mwananchi07 May
Simba yamnyatia Owen Kasule
11 years ago
GPL
MAN U KUMNASA MIRANDA
10 years ago
GPL
MIKE ADAIWA KUMNASA DAVINA
10 years ago
GPL
RAY C AHAHA KUMNASA JK UKUMBINI!
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Liverpool yajizatiti kumnasa Milner
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Mancity yakaribia kumsajili Bony
11 years ago
BBCSwahili21 Apr
Liverpool yakaribia ushindi wa ligi
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Liberia yakaribia kuangamiza Ebola