Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam yatoa saba Taifa Stars

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, wameingiza nyota wake saba katika kikosi cha timu ya Taifa Stars kitakachoivaa Burundi Aprili 26.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kambi ya Taifa Stars yaiharibia Azam

Kocha msaidizi wa Azam FC, Kally Ongalla amesema kambi ya Taifa Stars imeharibu programu yao kuelekea mechi ya Ngao ya Hisani dhidi ya Yanga, lakini anawaamini wachezaji wake kuwa watafanya maajabu siku hiyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

SPORT NEWS: Taifa Stars yabanwa na Algeria, yatoa sare ya 2-2!

TAIFA STARSkikosi cha  Taifa Stars

Na Rabi Hume

Mchezo wa kutafuta nafasi ya kufuzu kucheza kombe la dunia 2018 kati ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars na timu ya Taifa ya Algeria na mchezo huo kumalizika kwa sare ya goli 2 kwa 2.

Mchezo huo ambao kwa dakika zote 90 ulionekana kutawaliwa na Tanzania ambao katika mchezo wa leo wanaonekana kucheza vizuri tofauti na michezo iliyopita.

Magoli ya Tanzania katika mchezo huo yalipatikana katika dakika ya 43 kupitia kwa Elias Maguli na goli la pili...

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA KUHUSU MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WA MWEZI AGOSTI, 2015

 Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Iphrahim Kwesigabo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana kuhusu mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2015. Kulia ni Kaimu Meneja wa Idara ya Takwimu za Ajira na Bei, Ruth Minja. Mkutano na wanahabari ukiendelea.
Na Dotto MwaibaleUWEZO wa shilingi 100 ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma umefikia shilingi 62 na senti 97 mwezi Agosti, 2015 kutoka mwezi Septemba,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa stars, Harambee Stars hoi

Michezo ya awali ya kusaka tiketi ya kushiriki kombe la dunia nchini Urusi 2018 ukanda wa Afrika, zimepigwa usiku wa kuamka leo

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA PATO LA TAIFA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA,JANUARY-MACHI 2014

 Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morice Oyuke (katikati) akitoa ufafanuzi mbalimbali katika mkutano huo. Kushoto ni  Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Uchumi, Stephen Kirama na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Oswald Ruboha.
  Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morrice Oyuke (wa tatu kushoto), akiwa  na wadau wa uchumi katika mkutano huo. Kutoka kushoto...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yainyima Stars nyota saba

 Huku homa ya mchezo wa watani wa jadi ikipanda, Yanga imewazuia nyota wake saba kujiunga na kambi ya Taifa Stars inayojiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Benin utakaofanyika Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani