Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yainyima Stars nyota saba

 Huku homa ya mchezo wa watani wa jadi ikipanda, Yanga imewazuia nyota wake saba kujiunga na kambi ya Taifa Stars inayojiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Benin utakaofanyika Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga yazuia nyota wake Stars

Klabu ya Yanga imewazuia wachezaji wake watatu kujiunga na kambi ya timu ya Taifa, Taifa Stars, hadi pale watakapomaliza mechi yao ya leo dhidi ya Thika United ya Kenya.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota watano watemwa Taifa Stars

Kocha msaidizi wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Hemmed Morocco ametangaza kikosi cha wachezaji 24 watakaocheza na Malawi huku akiwaengua wachezaji watano waliokuwapo kwenye kikosi kilichoivaa Nigeria mwezi uliopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Taifa Stars kusafisha nyota leo?

Taifa Stars inahitaji kusafisha nyota leo mbele ya mashabiki wa soka mkoani Mbeya na Tanzania kwa ujumla kwa kuitandika Malawi ‘The Flame’ katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki utakaochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini hapa

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyota Stars kuanza kusakwa Februari 22

MICHUANO maalumu ya soka ya kushindanisha vikosi vya mikoa 22 ya Tanzania Bara kupata nyota wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, itachezwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 5. Hayo yalisemwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Nyota Chelsea atumia dakika 9 kuiua Stars

pICHANA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
NYOTA wa Chelsea anayecheza kwa mkopo Fiorentina, Mohamed Salah, alitumia dakika tisa juzi usiku kuiongoza timu yake ya Taifa ya Misri kuiua Taifa Stars mabao 3-0.
Stars iliweza kuhimili vishindo vya Misri kwa takribani dakika 60 za mwanzo za mchezo huo wa Kundi G, kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017 nchini Gabon.
Lakini Salah, aliyekuwa nyota wa mchezo huo, aliweza kupiga kona safi dakika ya 60 iliyozaa bao la kwanza lililofungwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Nyota Ligi Kuu England kuivaa Stars

 Kiungo nyota wa klabu ya West Bromwich inayoahiriki Ligi Kuu England, Stephan Sessegnon ataiongoza Benin kuikabili Taifa Stars, Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyota maboresho Stars wanahitaji muda zaidi

KARIBUNI tena wadau wa Uwanja wa Kuchonga. Kama kawaida tunakutana kupeana changamoto za kispoti ili kuchochea ufanisi kwenye sekta hii muhimu katika jamii. Bila shaka mu wazima wa afya njema...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yatoa saba Taifa Stars

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, wameingiza nyota wake saba katika kikosi cha timu ya Taifa Stars kitakachoivaa Burundi Aprili 26.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kim anatumia vigezo vipi kuteua nyota Taifa Stars?

TANZANIA imekuwa ikifananishwa na kichwa cha mwendawazimu katika soka kutokana na kufanya vibaya kwa timu zake; iwe katika mashindano ya ngazi ya klabu hadi timu za taifa. Kwa upande wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani