Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azimio la Arusha halijafutwa- Mwinyi


RAIS wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, amesema serikali haijawahi kufuta Azimio la Arusha kama inavyodaiwa na baadhi ya wananchi.
Hata hivyo amesema kilichofanyika ni ilizimua azimio hilo kuwapatia viongozi wa kati uwezo wa kumudu makali ya maisha.
Mwinyi alisema hayo jana jijini Dar es Salaam katika semina ya siku moja ya maandalizi ya sheria ya kudhibiti mgongano wa maslai miongoni mwa viongozi na watumishi wa umma iliyoandaliwa na Sekretarieti ya Maadili ya viongozi.
“Serikali...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mwinyi: Serikali haikufuta azimio la Arusha

mwinyi

Rais wa Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi.

Na Joseph Ishengoma, MAELEZO

Rais wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi amesema serikali haijawahi kufuta Azimio la Arusha kama inavyodaiwa na baadhi ya wananchi, bali ilizimua azimio hilo kuwapatia viongozi wa kati uwezo wa kumudu makali ya maisha.

“Serikali haikufuta Azimio la Arusha. Ililizimua azimio hilo kuwapatia viongozi wa kati kumudu makali ya maisha, lakini baadhi ya viongozi wamekuwa wakitumia vibaya nafasi hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

KUFA AZIMIO LA ARUSHA:Nyerere alivyotofautiana na Mwinyi

Kumekuwa na mjadala kuhusu sababu za kufa kwa Azmio la Arusha. Azimio hilo lilianzishwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama cha Tanu kikiwa na lengo la kutilia mkazo imani na siasa yake ya Ujamaa na Kujitegemea

 

10 years ago

Mwananchi

Mzee Mwinyi asema Serikali haikufuta Azimio la Arusha

Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi amesema Serikali haijawahi kufuta Azimio la Arusha kama inavyodaiwa na baadhi ya watu, bali ililizimua kuwapatia viongozi wa kati uwezo wa kumudu makali ya maisha.

 

10 years ago

Dewji Blog

Azimio la Arusha la kukabili ujangili lapita

IMG_5047

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza kwenye mkutano wa kikanda unaozungumzia ujangili na hifadhi endelevu ulioshirikisha mataifa ya Afrika, wajumbe wa Bunge la Marekani (Congress) Mashirika ya Umoja wa Mataifa, mataifa washirika wa maendeleo, wanazuoni na wawakilishi wa taasisi zisizo za serikali uliomalizika jana jijini Arusha na kufungwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda. Kushoto Mwenyekiti wa mkutano wa kikanda wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuliyoshindwa kujifunza kutoka Azimio la Arusha

Mengi yamezungumzwa na yatazungumzwa tena wakati tunaadhimisha miaka 47 ya Azimio la Arusha. Kwa leo ningependa nipitie mambo mawili matatu ninayohisi kwamba Watanzania hawakujifunza, wala kuambulia kitu kutokana na hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Butiama ‘walia’ Azimio la Arusha kufinyangwa

Baadhi ya wazee wameonyesha kusikitishwa na uamuzi wa Serikali kulifuta Azimio la Arusha, hatua ambayo imesababisha taifa kuwa na watumishi wa umma wasio waadilifu.

 

10 years ago

GPL

AZIMIO LA ARUSHA LA KUKABILI UJANGILI LAPITA‏

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza kwenye mkutano wa kikanda unaozungumzia ujangili na hifadhi endelevu ulioshirikisha mataifa ya Afrika, wajumbe wa Bunge la Marekani (Congress) Mashirika ya Umoja wa Mataifa, mataifa washirika wa maendeleo, wanazuoni na wawakilishi wa taasisi zisizo za serikali uliomalizika jana jijini Arusha na kufungwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh....

 

10 years ago

Mwananchi

Mnara wa Azimio la Arusha ‘umepoteza’ historia yake

Ukifika katikati ya Jiji la Arusha, utakutana na mnara wa kumbukumbu ya mahali ambako Azimio la Arusha liliasisiwa na kuzaliwa mnamo mwaka 1967 chini ya Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere.

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YAKUBALI AZIMIO ARUSHA KUHUSU HIFADHI YA JAMII

IMG_7245
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu hifadhi ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.(Picha zote na Eleuteri Mangi- Arusha).
Na Mwandishi wetu, ArushaSERIKALI ya Tanzania imeridhia azimio la arusha kuhusi hifadhi ya jamii nchini Tanzania na kusema litatumika kama dira katika kunemeesha watanzania.Azimio hilo ambalo limetoka baada ya mkutano wa siku tatu wa wadau mbalimbali wa hifadhi ya jamii kutoka bara la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani