Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAKUBALI AZIMIO ARUSHA KUHUSU HIFADHI YA JAMII

IMG_7245
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu hifadhi ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.(Picha zote na Eleuteri Mangi- Arusha).
Na Mwandishi wetu, ArushaSERIKALI ya Tanzania imeridhia azimio la arusha kuhusi hifadhi ya jamii nchini Tanzania na kusema litatumika kama dira katika kunemeesha watanzania.Azimio hilo ambalo limetoka baada ya mkutano wa siku tatu wa wadau mbalimbali wa hifadhi ya jamii kutoka bara la...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yakubali azimio la Arusha kuhusu hifadhi ya jamii

IMG_7245

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu hifadhi ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.(Picha zote na Eleuteri Mangi- Arusha).

Na Mwandishi wetu, Arusha

SERIKALI ya Tanzania  imeridhia azimio la arusha kuhusi hifadhi ya jamii  nchini Tanzania na kusema litatumika kama dira katika kunemeesha watanzania.

Azimio hilo ambalo limetoka baada ya mkutano wa siku tatu wa wadau mbalimbali wa  hifadhi ya jamii kutoka bara la...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yasaini Azimio la Arusha linalohusu Kinga ya Jamii

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akisaini Azimio la Arusha kwa niaba ya Serikali ya Tanzania ambalo lilipitishwa wakati wa kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwinyi: Serikali haikufuta azimio la Arusha

mwinyi

Rais wa Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi.

Na Joseph Ishengoma, MAELEZO

Rais wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi amesema serikali haijawahi kufuta Azimio la Arusha kama inavyodaiwa na baadhi ya wananchi, bali ilizimua azimio hilo kuwapatia viongozi wa kati uwezo wa kumudu makali ya maisha.

“Serikali haikufuta Azimio la Arusha. Ililizimua azimio hilo kuwapatia viongozi wa kati kumudu makali ya maisha, lakini baadhi ya viongozi wamekuwa wakitumia vibaya nafasi hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzee Mwinyi asema Serikali haikufuta Azimio la Arusha

Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi amesema Serikali haijawahi kufuta Azimio la Arusha kama inavyodaiwa na baadhi ya watu, bali ililizimua kuwapatia viongozi wa kati uwezo wa kumudu makali ya maisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali inafilisi Mifuko Hifadhi ya Jamii

Tunalazimika tena leo kuitahadharisha Serikali kuhusu athari zinazotokana na utamaduni wake wa kutolipa madeni.

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YATOA ELIMU KUHUSU HIFADHI YA JAMII KWA WANACHUO WA CBE

 Mkurugenzi wa Wanafunzi wanaochukua Mafunzo ya Shahada ya kwanza katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Dk. Esther Mbise akimkaribisha mgeni rasmi, Meneja Kiongozi Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii ( NSSF), Eunice Chiume (katikati),wakati wa Semina kwa wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), iliyofanyika katika chuoni hapo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Masoko chuoni hapo, Felix Chale. Jumla ya wanachuo 180 walihudhuria semina hiyo. Meneja...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yachukua hatua hifadhi za jamii zisifilisike

Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto), Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, George Yambesi (wa pili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (wa tatu kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa wakiangalia picha ya mama na mtoto ikiwa ni alama ya uzinduzi wa fao jipya la uzazi litakalokuwa likitolewa na mfuko huo wakati wa mkutano mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa mfuko huo mjini Dodoma jana. (Na Mpigapicha Wetu).SERIKALI imesema inachukua hatua mbalimbali zitakazozuia uwezekano wa mifuko ya hifadhi ya jamii kufilisika, kutokana na mifuko hiyo kuidai serikali kiasi cha Sh trilioni 1.8.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali ilipe madeni mifuko hifadhi ya jamii’

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, Said Mtanda, ameitaka serikali kulipa madeni ya Mifuko ya  Hifadhi ya Jamii, ili kusaidia mifuko hiyo kuweza kufanya shughuli za maendeleo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani