Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yachukua hatua hifadhi za jamii zisifilisike

Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto), Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, George Yambesi (wa pili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (wa tatu kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa wakiangalia picha ya mama na mtoto ikiwa ni alama ya uzinduzi wa fao jipya la uzazi litakalokuwa likitolewa na mfuko huo wakati wa mkutano mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa mfuko huo mjini Dodoma jana. (Na Mpigapicha Wetu).SERIKALI imesema inachukua hatua mbalimbali zitakazozuia uwezekano wa mifuko ya hifadhi ya jamii kufilisika, kutokana na mifuko hiyo kuidai serikali kiasi cha Sh trilioni 1.8.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali inafilisi Mifuko Hifadhi ya Jamii

Tunalazimika tena leo kuitahadharisha Serikali kuhusu athari zinazotokana na utamaduni wake wa kutolipa madeni.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali ilipe madeni mifuko hifadhi ya jamii’

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, Said Mtanda, ameitaka serikali kulipa madeni ya Mifuko ya  Hifadhi ya Jamii, ili kusaidia mifuko hiyo kuweza kufanya shughuli za maendeleo...

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YAKUBALI AZIMIO ARUSHA KUHUSU HIFADHI YA JAMII

IMG_7245
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu hifadhi ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.(Picha zote na Eleuteri Mangi- Arusha).
Na Mwandishi wetu, ArushaSERIKALI ya Tanzania imeridhia azimio la arusha kuhusi hifadhi ya jamii nchini Tanzania na kusema litatumika kama dira katika kunemeesha watanzania.Azimio hilo ambalo limetoka baada ya mkutano wa siku tatu wa wadau mbalimbali wa hifadhi ya jamii kutoka bara la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yakubali azimio la Arusha kuhusu hifadhi ya jamii

IMG_7245

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu hifadhi ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.(Picha zote na Eleuteri Mangi- Arusha).

Na Mwandishi wetu, Arusha

SERIKALI ya Tanzania  imeridhia azimio la arusha kuhusi hifadhi ya jamii  nchini Tanzania na kusema litatumika kama dira katika kunemeesha watanzania.

Azimio hilo ambalo limetoka baada ya mkutano wa siku tatu wa wadau mbalimbali wa  hifadhi ya jamii kutoka bara la...

 

9 years ago

BBCSwahili

Saud yachukua hatua zaidi dhidi ya Iran

Saud Arabia imetoa kauli kwamba inasitisha safari za anga pamoja na uhusiano wa kibiashara baina yake na nchi ya Iran.

 

5 years ago

Michuzi

WILAYA YA BUSEGA YACHUKUA HATUA MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA

Kutoka Busega

Uzinduzi wa upuliziaji wa viwatilifu kwenye madimbwi ya maji ili kuangamiza mazalia ya Mbu wanaosababisha ugonjwa wa malaria umefanyika katika kituo cha afya NASSA na kuhudhuriwa na Kaimu Mkuu wa Wilaya, David Pallangyo, Mganga Mkuu wa Wilaya, Dkt. Godfrey Mbangali, watumishi wa Afya na Maafisa afya kutoka kata zote 15. Zoezi hilo litakalochukua siku nne kuanzia tarehe 17 hadi 20 Juni, 2020 litafanyika katika kata zote 15 na vijiji vyote 59 vilivyopo wilayani Busega.

Kaimu mkuu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Italia yachukua hatua za dharura nchi nzima kudhibiti virusi hatari

Takribani watu milioni 60 wameamriwa kubaki majumbani kujiepusha na maambukizi ya virusi vya corona

 

9 years ago

Mwananchi

Changamoto za mifuko ya hifadhi ya jamii

Wiki iliyopita nilielezea baadhi ya mambo yanayosababisha kuwagusa wachangiaji wa mifuko ya pensheni ya hifadhi ya jamii, hasa wanapokuwa wanapoteza uanachama na kinga yao ya hifadhi ya jamii na pale wanapoondoka au kuhamia mfuko mwingine wakiwa ndani ya nchi na akivuka mpaka na kwenda nje ya nchi.

 

10 years ago

StarTV

‘Ukosefu wa hifadhi za jamii unachangia umasikini’.

Na Ramadhani Mvungi, Arusha.

 

Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya mapinduzi ya zanzibari Balozi Selfu Ali Iddi amesema Serikali ya Tanzania bado ina kazi kubwa ya kuhakikisha kuwa watu wake wanaondokana na umasikini uliyokithiri, hususani wakati huu ambapo Mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF, inaingia katika awamu ya tatu huku kukiwa bado kuna idadi kubwa ya watu wanaoishi chini ya mstari wa umasikini.

 

Balozi SeIf Iddi ametoa kauli hiyo Jijini Arusha katika mkutano wa kimataifa wa kinga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani