Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saud yachukua hatua zaidi dhidi ya Iran

Saud Arabia imetoa kauli kwamba inasitisha safari za anga pamoja na uhusiano wa kibiashara baina yake na nchi ya Iran.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WILAYA YA BUSEGA YACHUKUA HATUA MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA

Kutoka Busega

Uzinduzi wa upuliziaji wa viwatilifu kwenye madimbwi ya maji ili kuangamiza mazalia ya Mbu wanaosababisha ugonjwa wa malaria umefanyika katika kituo cha afya NASSA na kuhudhuriwa na Kaimu Mkuu wa Wilaya, David Pallangyo, Mganga Mkuu wa Wilaya, Dkt. Godfrey Mbangali, watumishi wa Afya na Maafisa afya kutoka kata zote 15. Zoezi hilo litakalochukua siku nne kuanzia tarehe 17 hadi 20 Juni, 2020 litafanyika katika kata zote 15 na vijiji vyote 59 vilivyopo wilayani Busega.

Kaimu mkuu...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yachukua hatua hifadhi za jamii zisifilisike

Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto), Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, George Yambesi (wa pili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (wa tatu kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa wakiangalia picha ya mama na mtoto ikiwa ni alama ya uzinduzi wa fao jipya la uzazi litakalokuwa likitolewa na mfuko huo wakati wa mkutano mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa mfuko huo mjini Dodoma jana. (Na Mpigapicha Wetu).SERIKALI imesema inachukua hatua mbalimbali zitakazozuia uwezekano wa mifuko ya hifadhi ya jamii kufilisika, kutokana na mifuko hiyo kuidai serikali kiasi cha Sh trilioni 1.8.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Italia yachukua hatua za dharura nchi nzima kudhibiti virusi hatari

Takribani watu milioni 60 wameamriwa kubaki majumbani kujiepusha na maambukizi ya virusi vya corona

 

10 years ago

BBCSwahili

Kuacha mashambulizi ni hatua nzuri:IRAN

Iran imeutaja uamuzi wa Saudi Arabia wa kusitisha mashambulizi dhidi ya waasi wa Houthi nchini Yemen, kuwa hatua iliyo nzuri.

 

9 years ago

BBCSwahili

Vikwazo dhidi ya Iran kuondolewa

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza amesema huenda vikwazo dhidi ya Iran vikaanza kuondolewa mapema mwaka ujao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani:Iran ina jukumu dhidi ya IS

Marekenai imesema kuwa Iran ina jukumu la kutekeleza katika juhudi za kimataifa dhidi ya wapiganaji wa Islamic State.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kubadili sera dhidi ya Iran?

Marekani imepinga madai ya taifa hilo kwamba imebadili sera zake dhidi ya Iran kutokana na kutokana na muungano wa kuwapiga IS.

 

10 years ago

BBCSwahili

Iran yajitegemea katika vita dhidi ya IS

Maafisa wa kijeshi wa Marekani na Iran wamesema hawana ushirikiano katika vita dhidi ya wapiganaji wa IS

 

10 years ago

StarTV

Iran yataka vita dhidi ya Houthi kusitishwa.

Rais wa Iran Hassan Rouhani, ametoa wito wa kusitishwa kwa mashambulio dhidi ya wapiganaji wa Kihouthi nchini Yemen, akiyataja kama makosa makubwa.

Iran pia imepinga madai ya Saudi Arabia kuwa utawala wa Tehran unawapa wapiganaji hao wa Kihouthi ambao ni wa shia mafunzo ya Kijeshi.

Balozi wa Saudi Arabi mjini Tehran, alishutishwa kufika mbele ya wizara ya mambo ya nje ya Iran, kupokea rasmi malalamishi ya Iran.

Nchini Yemen, Ndege za kivita za muungano unaongozwa na Saudi Arabia, zimefanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani