Iran yataka vita dhidi ya Houthi kusitishwa.
Rais wa Iran Hassan Rouhani, ametoa wito wa kusitishwa kwa mashambulio dhidi ya wapiganaji wa Kihouthi nchini Yemen, akiyataja kama makosa makubwa.
Iran pia imepinga madai ya Saudi Arabia kuwa utawala wa Tehran unawapa wapiganaji hao wa Kihouthi ambao ni wa shia mafunzo ya Kijeshi.
Balozi wa Saudi Arabi mjini Tehran, alishutishwa kufika mbele ya wizara ya mambo ya nje ya Iran, kupokea rasmi malalamishi ya Iran.
Nchini Yemen, Ndege za kivita za muungano unaongozwa na Saudi Arabia, zimefanya...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Iran yataka vita dhidi ya Houthi kukoma
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Iran yajitegemea katika vita dhidi ya IS
10 years ago
BBCSwahili19 Oct
Marekani yataka ghasia kusitishwa Libya
10 years ago
BBCSwahili27 Jul
Mashambulizi dhidi ya Houthi yasitishwa
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Raia waandamana dhidi ya Houthi Yemen
11 years ago
BBCSwahili28 Dec
Ni vigumu kusitishwa vita Sudan K.
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Kusitishwa vita kwaleta nafuu Ukraine
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Nuklia Iran:China yataka mwafaka
9 years ago
BBCSwahili27 Dec
Iran yataka waislamu kunusuru hadhi ya Uislamu