Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani:Iran ina jukumu dhidi ya IS

Marekenai imesema kuwa Iran ina jukumu la kutekeleza katika juhudi za kimataifa dhidi ya wapiganaji wa Islamic State.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kubadili sera dhidi ya Iran?

Marekani imepinga madai ya taifa hilo kwamba imebadili sera zake dhidi ya Iran kutokana na kutokana na muungano wa kuwapiga IS.

 

5 years ago

Michuzi

“Tume ya Haki za Binadamu Ina Jukumu Kubwa la Kulinda Haki za Wanawake na Watoto”-BALOZI SEIF

Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akipokea kitabu
kinachohusu masuala ya haki za binadamu na utawala bora kutoka kwa Mwenyekiti na
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mhina,
Walipomtembelea Ofisini kwake leo Juni 3, 2020 Vuga Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu
Mathew Mhina, akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti, wa Tume ya Haki za Biadamu
na Utawala Bora, Mohamedi Khamis Hamadi, wakati wa ziara yake...

 

10 years ago

Michuzi

JAMUHURI YA KIISLAMU YA IRAN INA WAJIBU WA KUENDELEA KUIUNGA MKONO ZANZIBAR.

Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran ina wajibu  wa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika harakati za maendeleo kutokana na Historia ndefu iliyopo ya mwingiliano wa kibiashara baina ya baadhi ya Wananchi wa pande hizo mbili.
Gavana  Mkuu wa Jimbo la Sistan na Balachestan Nchini Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran Bwana  Ali Osat Hashemi akiuongoza Ujumbe wa Viongozi saba wa Jimbo hilo alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini...

 

11 years ago

BBCSwahili

ICC yasema ina ushahidi dhidi ya Gbagbo

Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC imesema ina ushahidi wa kutosha kumfungulia mashitaka ya uhalifu wa kivita rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Vikwazo dhidi ya Iran kuondolewa

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza amesema huenda vikwazo dhidi ya Iran vikaanza kuondolewa mapema mwaka ujao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Iran yajitegemea katika vita dhidi ya IS

Maafisa wa kijeshi wa Marekani na Iran wamesema hawana ushirikiano katika vita dhidi ya wapiganaji wa IS

 

10 years ago

BBCSwahili

Iran yataka vita dhidi ya Houthi kukoma

Rais wa Iran Hassan Rouhani, ametoa wito wa kusitishwa kwa mashambulio dhidi ya wapiganaji wa Kihouthi nchini Yemen,

 

10 years ago

StarTV

Iran yataka vita dhidi ya Houthi kusitishwa.

Rais wa Iran Hassan Rouhani, ametoa wito wa kusitishwa kwa mashambulio dhidi ya wapiganaji wa Kihouthi nchini Yemen, akiyataja kama makosa makubwa.

Iran pia imepinga madai ya Saudi Arabia kuwa utawala wa Tehran unawapa wapiganaji hao wa Kihouthi ambao ni wa shia mafunzo ya Kijeshi.

Balozi wa Saudi Arabi mjini Tehran, alishutishwa kufika mbele ya wizara ya mambo ya nje ya Iran, kupokea rasmi malalamishi ya Iran.

Nchini Yemen, Ndege za kivita za muungano unaongozwa na Saudi Arabia, zimefanya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Saud yachukua hatua zaidi dhidi ya Iran

Saud Arabia imetoa kauli kwamba inasitisha safari za anga pamoja na uhusiano wa kibiashara baina yake na nchi ya Iran.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani