Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azimio la kulinda miundombinu baharini lafikishwa bungeni

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison MwakyembeSERIKALI imewasilisha bungeni Azimio la Bunge kuridhia Itifaki ya Uzuiaji wa Vitendo Haramu dhidi ya Usalama wa Miundombinu ya Kudumu iliyojengwa chini ya Bahari (SUA) ya mwaka 1988.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali yajipanga kulinda miundombinu ya gesi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi amesema Serikali itaingia mkataba na vijiji husika ili kulinda miundombinu ya bomba la gesi lililopita kwenye maeneo yao isiharibiwe na kuhujumiwa .

 

10 years ago

Mwananchi

DART ibuni mbinu kulinda miundombinu yake

Hapana shaka kwamba yeyote ambaye ametembelea mradi wa ujenzi wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART), ni shahidi wa uharibifu na hujuma zinazofanywa kwenye miundombinu ya mradi huo wa pekee katika bara la Afrika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kamati ya Bunge yataka kikosi kulinda miundombinu DART

KAMATI ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imetoa agizo kwa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuharakisha kufanya makubaliano na Jeshi la Polisi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya wiki ya maji mkoa wa Dar yazinduliwa rasmi,wananchi watakiwa kulinda na kutunza miundombinu

Picha na 1.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akitoa ufafanuzi kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Maji mkoani Dar es salaam.

Na  Aron Msigwa, MAELEZO

Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Wiki ya maji kuanzia tarehe 16 hadi 22, Machi 2015 chini ya Kauli Mbiu isemayo Maji kwa Maendeleo Endelevu.

Maadhimisho ya mwaka huu yanatoa fursa kwa Mamlaka zinazohusika na usimamizi wa Maji nchini kutathmini huduma wanayoitoa kwa wananchi, kujenga na kuimarisha miundombinu iliyopo...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI MKOA WA DAR ES SALAAM YAZINDULIWA RASMI,WANANCHI WATAKIWA KULINDA NA KUTUNZA MIUNDOMBINU

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akizindua mradi wa Maji ya Kisima mtaa wa Mongolandege, Ilala jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya Wiki ya Maji mkoani Dar es salaam. Mradi wa Kisima hicho umegharimu kiasi cha shilingi milioni 78.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akifungua moja ya bomba la maji la mradi wa Maji ya Kisima mtaa wa Mongolandege, Ilala jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya Wiki ya Maji mkoani Dar es...

 

10 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI MKOA WA DAR ES SALAAM YAZINDULIWA RASMI,WANANCHI WATAKIWA KULINDA NA KUTUNZA MIUNDOMBINU.‏

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akitoa ufafanuzi kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Maji mkoani Dar es salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akizindua mradi wa Maji ya Kisima mtaa wa Mongolandege, Ilala jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya Wiki…

 

11 years ago

CloudsFM

SAKATA LA CHIDI BENZ KUMSHUSHIA KICHAPO RAY C LAFIKISHWA POLISI

Msanii wa Bongo flava Rashid Makwiro ‘Chidi benz’ hivi karibuni aliandikwa kwenye mtandao wa global publishers kuwa usiku wa kuamkia siku ya Alhamisi iliyopita alidaiwa kumshushia kichapo cha nguvu msanii mwenzake Rehema Chalamila’Ray C’ nyumbani kwa msanii huyo,suala la hilo limefikishwa polisi.

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YA YAAGIZA ULINZI WA MIUNDOMBINU

KAMATI YA YAAGIZA ULINZI WA MIUNDOMBINU
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Serikali kuhakikisha inaweka ulinzi madhubuti katika miundombinu ya mradi wa barabara za juu (Interchange) katika makutano ya eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam ili idumu kwa kipindi kirefu. 
Mradi huo wenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katika njia za barabara za Morogoro, Mandela na Sam Nujoma unagharimu kiasi cha shilingi bilioni 229 na huku Serikali ikichangia fedha za fidia kwa wananchi...

 

11 years ago

Habarileo

Bunge latoa Azimio

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Edward LowassaBunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juzi lilisitisha shughuli zake na kutoa Azimio kutokana na kifo cha Mandela, kwa kumuenzi kwa kudumisha umoja, amani, mshikamano ili kuleta maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani