Baada ya kipigo, Al Ahly wasusa vyakula
Mohammed Mdose na Said Ally KIPIGO cha bao 1-0 walichokipata Al Ahly dhidi ya Yanga, kimeonyesha kuwachanganya vilivyo Waarabu hao, kwani baada ya mchezo walionekana kutupatupa ovyo vyakula walivyokuwa navyo ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo. Waarabu hao walikumbana na kipigo hicho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar, juzi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa bao safi lililofungwa na Nadir Haroub ‘Cannavaro’....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLAl Ahly watua Dar na vyakula, maji
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Vyakula, vinywaji unavyokatazwa kutumia mara baada ya mazoezi
9 years ago
Dewji Blog27 Dec
Baada ya kipigo, Van Gaal ajifukuza kabla ya kufukuzwa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal (pichani) ambaye kibarua chake kipo katika kipindi kigumu kufuatia kipigo cha goli 2 kwa bila kutoka kwa Stoke City amesema anafikiri anatakiwa kuacha kibarua cha kuinoa klabu hiyo.
Akiwa katika wakati mgumu wa hatma ya kibarua chake Van Gaal ameshudia timu yake ikifungwa goli 2 kwa bila na kuwa mchezo wa 7 kufungwa kwa msimu huu na kikiwa kipigo cha kwanza ndani ya miaka 54 Manchester United kufungwa siku ya Boxing Day...
9 years ago
GPL9 years ago
Dewji Blog15 Dec
Baada ya kipigo cha Leicester, Mourinho ahisi kusalitiwa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho (pichani) amesema anahisi kusalitiwa na baadhi ya wachezaji wake baada ya kupata kipigo cha goli 2 kwa 1 kutoka kwa Leicester City.
Mourinho alisema ilikuwa ni sahihi kwa Leicester kuwafunga kutokana na kuwatawala kwa kipindi kikubwa cha mchezo huo huku timu yake ikionekana kucheza vizuri kwa dakika za 25 za mwanzoni na kuwafanya kuwa katika wakati mgumu kupata matokeo mazuri.
Aliongeza kuwa aamahisi kusalitiwa na baadhi ya wachezaji...
10 years ago
Vijimambo02 Mar
AZAM FC YAMTIMUA KOCHA BAADA YA KIPIGO CHA UGENINI
Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye mtandao wa facebook wa Azam FC muda mfupi uliopita, Uongozi wa Azam FC umetangaza kumtimua raia huyo wa Cameroon.
Taarifa hiyo inasomeka: “Uongozi wa Azam FC unatangaza kuachana na kocha wake mkuu Joseph Omog baada ya kuwa naye kwa miezi 14.
Omog aliyeipa Azam FC ubingwa wa kwanza msimu...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo16 Dec
SIMBA YAMFUKUZISHA MAXIMO JANGWANI MARA BAADA YA KUWAPA KIPIGO CHA MAGOLI 2 KWA 0 YANGA