Baada ya miaka 40 kupita, huyu ndio mrembo wa kwanza kuvaa Taji la Miss Iraq..
December 19 2015 warembo kutoka nchi zaidi ya 100 duniani walikutana Sanya China kwenye stage moja wakishiriki kugombea Taji la Miss World, bahati nzuri ikawa kwa watu wa Spain, mrembo wao Mireia Lalaguna Rozo akaibuka na ushindi wa Taji hilo. Stori ikafatia usiku wa December 20 2015 kutoka Las Vegas Marekani ambapo fainali za Miss Universe […]
The post Baada ya miaka 40 kupita, huyu ndio mrembo wa kwanza kuvaa Taji la Miss Iraq.. appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016
Headlines za Arsenal kufanya vizuri bado zinagonga vichwa vya habari vya magazeti mengi ya michezo dunini, Arsenal kwa sasa ndio timu inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016. Sababu za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa sio kwa sababu kaifunga Man City. Hizi ndio sababu tano za Arsenal kupewa nafasi […]
The post Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016 appeared first on...
9 years ago
VijimamboAEESHA KAMARA ANYAKUA TAJI LA MISS TANZANIA USA AVIKWA TAJI NJE YA UKUMBI BAADA YA MAJAJI KUTENGUA MATOKEO
Aeesha Kamara na Aziza Gama katika...
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Je,huyu ndio mwanamke mrembo duniani?
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Mrembo wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World 2014
11 years ago
Bongo511 Aug
Mrembo wa Ethiopia atwaa taji la Miss Africa USA 2014