Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADHI YA NCHI ZA ULAYA ZAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KATIKA MAPAMBANO YA COVID19

Baadhi ya Nchi za Ulaya zimeanza kutambua na kupongeza hatua ambazo Tanzania imezichukua katika kupambana na Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 kutokana na muongozo wa Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwa zinaendana mazingira na hali halisi ya Tanzania.

Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Bw. Dag-IngeUlstein ametoa pongezi hizo na kutambua jitihada za Rais Dkt John Pombe Magufuli za kutoweka zuio kwa watanzania kutotoka nje (lockdown) kama nchi nyingi duniani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI KWA UMAHIRI ALIOTUMIA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA, YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2020

Dodoma, Tanzania
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imempongeza Rais Dk. John Magufuli kwa Uongozi imara, msimamo thabiti na usioyumba katika kipindi chote cha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19.

Pongezi hizo zimetolewa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, katika kikao chake kilichofanyika jana katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli.

Pamoja na pongezi hizo Kamati...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA HAKI FURSA YAMUOMBA SPIKA WA BUNGE KUANDAA TUZO MAALUM KWA AJILI YA KUTAMBUA MCHANGO WA RAIS DK.MAGUFULI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA


Ofisa Mipango wa Taasisi ya Haki Fursa Kwagilwa Reuben (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi habari leo Mei 27 , 2020 jijini Dar es Salaam kuhusu umuhimu wa Rais Dk.John Magufuli kupewa tuzo maalumu ya kutambua na kuthamini mchango wake katika kupambana na janga la Corona nchini.Kushoto ni Katibu Mtendaji wa taasisi hiyo Ntimi Charles na kulia ni Ofisa Ustawi wa Jamii wa taasisi hiyo Lwitiko Mwakikuti.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Haki Fursa Ntimi Charles (katikati) akisikiliza kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKAZI WA WFP APONGEZA UAMUZI WA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI WA KUTOWEKA ZUIO LA KUTOKA NJE (LOCKDOWN) KATIKA KIPINDI CHA MAPAMBANO YA UGONJWA WA COVID 19



Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brig. Jen. Wilbert A. Ibuge na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford wakisalimiana mara baada ya kukutana kwa mazungumzo jijini Dodoma

Katika hatua nyingine Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford ametembelea vikundi vya wakulima vinavyofadhiliwa na miradi ya Shirika hilo Kibaigwa mkoani Dodoma. Lengo la ziara hiyo ilikuwa...

 

5 years ago

CCM Blog

MATUMAINI YAANZA KUONEKANA ULAYA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

   Mataifa ya Ulaya yaliyoathirika zaidi na virusi vya corona yameanza kuona dalili ndogo za matumaini katika mapambano dhidi ya virusi hivyo leo ila Marekani inajiandaa kwa hali mbaya zaidi.

Haya yanakuja wakati ambapo idadi ya vifo Marekani inaelekea kufikia watu elfu kumi.

Virusi vya corona vimeuathiri karibu ulimwengu mzima na kuwapelekea karibu nusu ya watu duniani kusalia majumbani na kupelekea vifo vya karibu watu sabini elfu.

Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza, hapo jana alitoa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini kunawa mikono ni vigumu katika baadhi ya nchi zinazoendelea

Ushauri wa WHO ni vigumu kuzingatiwa katika mataifa yanayoendelea.

 

9 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli hajaridhishwa mapambano ya rushwa, kaigeukia TAKUKURU December 15

Bado Rais Magufuli anaendelea kuipanga Serikali ya awamu ya tano ili kuhakikisha mambo yanakuwa sawa kwenye utawala wake na kazi inakwenda. Tuhuma za rushwa na ubadhirifu zimekuwa nyingi, baada ya ishu ya makontena bandarini, ukwepaji kodi TRA, kaigeukia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU. Rais Magufuli amefanya mabadiliko Taasisi ya TAKUKURU na kutengua […]

The post Rais Magufuli hajaridhishwa mapambano ya rushwa, kaigeukia TAKUKURU December 15 appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani