BABA WA KIM NDANI YA VIDEO YA KANYE
Bruce Jenner ‘Caityln’. New York, Marekani HABARI ya mjini kwa sasa ni juu ya baba wa kufikia wa mwanamitindo, Kim Kardashian aliyejibadilisha jinsia na kuwa mwanamke, Bruce Jenner ‘Caityln’ kuingizwa kwenye video ya wimbo mpya wa Kanye West. Chanzo kinaweka wazi kuwa kwa muda mrefu baba wa Caityln alikuwa akitamani kuonekana kama binti katika video za wanamuziki hasa kwa video zote zijazo za Kanye....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo530 Jan
Video: Kanye West: Ndoa na Kim imenifanya kuwa binadamu bora
10 years ago
GPLVIDEO YA MTOTO WA KIM NA KANYE, NORTH WEST AKIVUTWA PAMOJA NA SANDUKU LA NGUO YAVUTIA WENGI MTANDAONI
11 years ago
GPLCHUCHU NA RAY KAMA KIM NA KANYE
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Kanye West ampa Kim bonge la zawadi
NEW YORK, MAREKANI
BAADA ya Kim Kardashian na Kanye West kupata mtoto wao wa pili ‘Saint’, mkali huyo wa hip hop ameamua kumpa zawadi mke wake ya Sh bilioni 2.
Msanii huyo ameamua kuonesha jeuri ya fedha ikiwa ni shukrani kwa mke wake kwa ajili ya kumzalia mtoto wa pili.
Kanye alifanya hivyo ikiwa ni siku chache tangu Kim ajifungue mtoto huyo ambaye kwa sasa amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa Jarida la People la Marekani, limeandika kwamba Kanye amekuwa mtu wa furaha...
10 years ago
GPLKIM AJIVUNIA KANYE WEST KUITWA DOKTA
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Kim, Kanye West wapata mtoto kabla ya Krismasi
LAGOS, NIGERIA
LICHA ya kujitabiria kwamba wangepata mtoto wa pili kipindi cha sikukuu ya Krismasi, mkali wa hip hop, Kanye West na mke wake, Kim Kardashian, wamefanikiwa kupata mtoto wa pili wa kiume juzi.
Kupitia mtandao wa Twitter, Kim aliandika kwamba, “Tulikuwa tunakusubiri kwa muda mrefu, hatimaye muda umefika, karibu sana mwanangu,” aliandika Kim akimkaribisha mdogo wa North West.
Kim pia aliandika katika ‘Website’ yake kwamba, ‘‘Kim Kardashian West na Kanye West wamefanikiwa kupata...