Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Babu ambaka mjukuu wake

MTOTO wa miaka saba wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni, Tanga amebakwa na babu yake na kumsababishia maumivu makali na kumwagika damu nyingi. Tukio hilo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Babu (62) ambaka mjukuu wake wa miaka mitano

Katavi. Mzee wa miaka 62, Rashid Mbogo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda kwa tuhuma za kumbaka mjukuu wake mwenye umri wa miaka mitano.

 

11 years ago

GPL

BABU MIAKA 80 ADAIWA KUMBAKA MJUKUU WAKE


STORI: SHANI RAMADHANI
BABU mwenye umri wa  miaka (80), Benedict mkazi wa Tandika Kilimahewa, jijini Dar ametiwa mbaroni kwa madai ya kumbaka mjukuu wake wa kike (jina linahifadhiwa) mwenye umri wa miaka (6). Mtoto aliyebakwa na babu. Tukio hilo la kuhuzunisha linadaiwa kutokea Machi 8, mwaka huu usiku wakati babu na mjukuu wake huyo wakiwa wamelala pamoja chumbani kwake. Akizungumza na mwandishi wetu, jirani wa babu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Babu na mjukuu wake wafanikiwa kuingia hatua ya tatu katika shindano la Tanzania Movie Talents

Washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents ambao ni babu na mjukuu wake kiuhalisia wakipongezana mara baada ya kufanikiwa kuingia hatua ya tatu ya kutafuta washiriki 15 bora na hatimaye kupatikana washindi watatu bora wa kanda ya kati ambapo kila mmoja ataondoka na kitita cha shilingi laki tano za kitanzania.

babu

Mmoja wa washiriki wa shindano la Tanzania Movie Talents akihojiwa na Msanii Joti mara baada ya kufanikiwa kuingia hatua ya tatu hapo kesho huku mjukuu wake pia akifanikiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Babu ambaka mfululizo mtoto wa miaka 12

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Mohamed Mgende (59) mlinzi na mkazi wa Msamvu Ndege Wengi kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka 12, mwanafunzi wa darasa la tano Shule ya Msingi Msamvu B.

 

10 years ago

Habarileo

Babu alawiti mjukuu wa kike

POLISI wilayani Masasi mkoani Mtwara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Maili Sita kata ya Mtandi, Daudi Pilipili (44) kwa tuhuma za kumlawiti mjukuu wake wa kike mwenye umri wa 13.

 

11 years ago

Michuzi

Mjukuu wa Mandela aeleza babu yake alivyomfunda

Wakati wa mahojiano kati ya Ndaba Mandela na Joseph Msami wa Idhaa hii
Nelson Mandela, ametutoka lakini uwepo wake utaendelea kuwa dhahiri . Hilo limedhihirika baada ya mjukuu wake Ndaba Mandela kuzindua kampeni ya Linda Lango iliyoko chini ya shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Ukimwi UNAIDS ambapo Ndaba ni msemji wa kampeni hiyo inayotumia michezo kuhamasisha jamii hususani vijana.
Katika mahojiano maaluma na Joseph Msami wa idhaa hii Ndaba anaanza kwa kujibu swali kwanini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Desmond Tutu amshtaki mjukuu wake

Askofu mkuu mstaafu wa mji wa Capetown na mshindi wa tuzo la Nobel Desmond Tutu pamoja na mkewe wamemshtaki na mashtaka ya uhalifu mjukuu wao.

 

10 years ago

GPL

MZEE MAJUTO AFUNGUKA KUOA MJUKUU WAKE!

Mayasa Mariwata
Vunja ukimya! Komediani namba moja Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amegeuka mbogo baada kuulizwa juu ya madai ya kuoa binti mdogo ambaye ni sawa na mjukuu wake mwenye umri wa miaka 18 akidai kuwa sheria ya dini inamruhusu kufunga ndoa wa wake wanne.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda ambalo ndilo lililokuwa la kwanza kuripoti ishu hiyo, Mzee Majuto ambaye awali alionesha kuwa na jazba alifunguka:
...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bibi wa Obama amtaka mjukuu wake, Kogelo

Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umesema Rais Barack Obama hatatembelea kijiji alichozaliwa baba yake, wakati wa ziara yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani