BABY MADAHA AENDA KWAO KUTAMBIKA
![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akTyk30lxTEvkRYPWAndjGH*m5yWFfbLaeRPUXkjYMhMaSMMzDlkoLwrN6j29Rgz*VsL2WG-20C1Jr2UGwBMVVaq/BABY.jpg)
Stori: Gladness Mallya MAKUBWA! Staa wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha anadaiwa kwenda kijijini kwao kutambika baada ya kuona mambo yake yanamwendea kombo. Staa wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha. Akizungumza na mwanahabari wetu, rafiki wa karibu wa Baby Madaha ambaye hakupenda kuanikwa, alisema kutokana na staa huyo kuona mambo hayaendi vizuri hasa kwenye muziki, ameamua kwenda nyumbani kwao Mwanza kwa ajili ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BDlvIDeZhzg69GxQOQMb*IReD-nQHkiBMgWmqmod33wEyA3T73Iofx5DE*WGxrn5HMzlarC6IxsdazT7CK-Z67UrZGAe5wyX/dude.gif?width=650)
MKE WA DUDE AENDA KWAO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55I7ZlFg1qyxYmxm997bDtMCrfjr**5A8IjAerXx*xDFx9X7avQ-yCqomGic-nbEYiblsZ3UEwMyLKhkKCTnAzrV/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA
10 years ago
Bongo Movies04 Mar
FINALLY! Wema Sepetu aamua 'kuolewa'. Aenda kumtambulisha mume nyumbani kwao.
Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.
Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema –...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJAkpYW*qkqn1yJYTcBx7y*Csoh8CsJJeO1ywdjtipA4496P3FY0DN2VNgHebGVNDrZVLC47Q3mvnvDfA9tQJX4m/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA AUMBUKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QfDS7z72QT0FfVBe7jmds2qNwCFvrMcclbw*ReRFdb0uxCJYQiOlq2ubuaIqxnilcFB8TG7FwjugqUuT3xt5xck/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!
11 years ago
Michuzi11 Feb
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TzObvhxOuacRIwpWQLbP0JbNCaPAAKD4UvD2o0n6XggmLbif9LQTsS2KTcbWicyhgRJJ8oOpabOG2RJiw2Wib7ITLdGfDuTC/baby.jpg)
BABY MADAHA: NAWAPANGA TU WANAUME
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL3yNSeD2NwBq05bOGaPe0lYXsZ7AHyveerDNhvVrK0Rpg9o9oCEOBWvNQD3*NzNFfga8W0g-LKjoBc3Y0CvOeSc/madaha.jpg?width=650)
BABY MADAHA: NITAOLEWA 2030
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Baby Madaha atamani mtoto
NA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto. Akizungumza na MTANZANIA jana, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha. Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo...