Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABY MADAHA, ISABELA KUONESHANA KAZI LEO

Msanii wa Bongo Fleva,Isabela Mpanda. Waandishi wetu
WASANII wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ na Isabela Mpanda leo wanatarajia kuoneshana kazi kwenye jukwaa moja katika Ukumbi wa Masai Club, Kinondoni jijini Dar. Wasanii hao ambao wamefanya ngoma kwa kushirikiana na nyingine kila mmoja akifanya peke yake, wanatarajia kutambulisha wimbo wao ambao wamemshirikisha legendary wa Bongo Fleva, Abdul...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Baby Madaha ataka ubunifu kwenye kazi

babyNA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu pamoja na muziki, Baby Madaha, amesema sanaa ya sasa inatakiwa kuwa na ubunifu, ili kuweza kufikia katika kiwango cha juu.
Akizungumza na MTANZANIA, Madaha alisema asilimia kubwa ya wasanii wanakuwa hawana ubunifu katika sanaa, kitu ambacho kinawafanya washindwe kufanya vizuri.
“Mashabiki wetu wameendelea sana na wanajua kitu bora na magumashi. Hivyo kwa sasa tunatakiwa tuendeleze ubunifu ili kuweza kuwagusa mashabiki wetu na hata kuwafikia...

 

9 years ago

Bongo Movies

Baby Madaha Kujikita Kwenye Utayarishaji wa Filamu Baada ya Kazi Hii

Baby Madaha anajiandaa kutoa ngoma yake mpya ambayo huenda ikawa ni ya mwisho.

Muimbaji huyo ameimbia Bongo5 kuwa focus yake kubwa kwa sasa ni kuwa mtayarishaji wa filamu. “Nimeamua kujikita kwenye movie zaidi kuliko kwenye muziki,” amesema.

“Nitafanya na Allan Mapigo na nipo kwenye hatua za mwisho kuikamilisha. Baada ya Amore then Corazon nadhani ndio nitawaaga rasmi coz sasa nitaanza kuishi maisha mengine,” ameongeza.

Baby amedai kuwa ana mpango wa kuongeza ujuzi katika masuala ya...

 

10 years ago

GPL

MADAHA, ISABELA WAFANYA UFUSKA!

Stori: Imelda Mtema HAMNAZO? Mastaa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha  wamenaswa wakifanya vitendo vichafu maeneo ya Tabata jijini Dar baada ya kupiga masanga ya kutosha mwilini. Mastaa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wakijiachia. Kwa mujibu wa chanzo, Baby na Bella walifika maeneo hayo juzikati wakiwa wazima kabisa lakini baada ya kufakamia pombe kwa kasi...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 WABUNGE SIMBA NA YANGA KUONESHANA KAZI

Talk of the town kwa sasa ni tamasha kubwa na la kipekee, Usiku wa Matumaini linalotarajiwa kutimua vumbi Agosti 8, 2014 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambalo ukiachilia mbali burudani kibao zitakazokuwepo, mechi kati ya wabunge wanaoishabikia Yanga dhidi ya wale wa Simba inatarajiwa kuwa kivutio cha aina yake. Wabunge wa timu ya Yanga wakiwa kwenye picha ya pamoja. Kama ilivyokuwa kwenye tamasha hilo mwaka jana...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA

Baby Joseph Madah. Na Waandishi Wetu AMA kweli maovu yanazidi kuongezeka, shetani naye mbioni siku zote kunasa waliyo wake, kauli hizo zote ziko sambamba na staa wa sinema za Kibongo na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Baby Joseph Madaha amenaswa baada kuingia mkenge mtego wa kujiuza, Ijumaa limesheheni. Kumekuwa na skendo kuwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo hujihusisha na biashara ya kujiuza ili kujipatia kipato na kufanya...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA AUMBUKA

Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye aliwahi kutangaza kuacha fani ya maigizo na muziki amejikuta akiumbuka kwa mashabiki wake kutokana na kuendelea kukomaa katika gemu kwa kuachia kazi mpya na kuandaa matamasha mbali mbali. Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha akiwa kwenye pozi. Msanii huyo alitoa uamuzi huo kwa madai kuwa alichoshwa na skendo za kila kukicha ambazo...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!

Stori:   Mwandishi Wetu
Jambo limezua jambo! Ile skandali ya kunaswa baada ya kuingia mkenge kwenye mtego wa kujiuza imemtokea puani staa wa sinema na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ambaye amekiri kuumbuka.
Habari hiyo iliruka hewani kwenye gazeti dada la hili, Ijumaa wiki iliyopita toleo namba 862 la Januari 17 hadi 23 likiwa na kichwa cha habari ‘BABY MADAHA ANASA MTEGO WA KUJIUZA. SAFARINI
Ilielezwa kuwa...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA ANASWA AKIJIPODOA

Baby Madaha akijipodoa tayari kurekodi video ya wimbo wake wa Nawaponda. Meneja wa Baby Madaha, Joe Kariuki (kulia) akijadiliana jambo na muongozaji wa video hiyo. MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha jana alinaswa na kamera zetu akijipodoa bila kuogopa wala kujali…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani