Baby Madaha Kujikita Kwenye Utayarishaji wa Filamu Baada ya Kazi Hii
Baby Madaha anajiandaa kutoa ngoma yake mpya ambayo huenda ikawa ni ya mwisho.
Muimbaji huyo ameimbia Bongo5 kuwa focus yake kubwa kwa sasa ni kuwa mtayarishaji wa filamu. “Nimeamua kujikita kwenye movie zaidi kuliko kwenye muziki,” amesema.
“Nitafanya na Allan Mapigo na nipo kwenye hatua za mwisho kuikamilisha. Baada ya Amore then Corazon nadhani ndio nitawaaga rasmi coz sasa nitaanza kuishi maisha mengine,” ameongeza.
Baby amedai kuwa ana mpango wa kuongeza ujuzi katika masuala ya...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania08 Apr
Baby Madaha ataka ubunifu kwenye kazi
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu pamoja na muziki, Baby Madaha, amesema sanaa ya sasa inatakiwa kuwa na ubunifu, ili kuweza kufikia katika kiwango cha juu.
Akizungumza na MTANZANIA, Madaha alisema asilimia kubwa ya wasanii wanakuwa hawana ubunifu katika sanaa, kitu ambacho kinawafanya washindwe kufanya vizuri.
“Mashabiki wetu wameendelea sana na wanajua kitu bora na magumashi. Hivyo kwa sasa tunatakiwa tuendeleze ubunifu ili kuweza kuwagusa mashabiki wetu na hata kuwafikia...
9 years ago
Bongo508 Oct
Baby Madaha: Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 500 kwenye kampuni yangu ya filamu (Picha)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-96aukEFrjI8/VW8mL7oG5kI/AAAAAAABPtk/bAp-My9DALo/s72-c/madaha.jpg)
BABY MADAHA AFUNGUA KAMPUNI YA FILAMU
![](http://2.bp.blogspot.com/-96aukEFrjI8/VW8mL7oG5kI/AAAAAAABPtk/bAp-My9DALo/s640/madaha.jpg)
Baby amesema ameamua asiwe mtu wa kutegemea kuimba na kufanya filamu tu, bali pia ajishughulishe na shughuli nyingine.“Kiukweli muziki wa sasa hivi una changamoto kubwa sana, wasanii wachanga wameibuka na wanafanya vizuri sana. Kama mimi ninazo kazi nyingi ila sasa hivi nimeamua nisifanye muziki na filamu pekee. Nimefungua kampuni yangu ambayo inafanya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8XZ9tNduvb0-EsxdUUQQk25CNfMA1txMxQRfhDF-av5xEe7hD3l3owqv5SDnXTYzbGJpk-mA4xfwIHo-H3HmEmMMVh0nGzsJ/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA ATANGAZA KUACHA MUZIKI, FILAMU
10 years ago
GPLBABY MADAHA, ISABELA KUONESHANA KAZI LEO
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Mapaparazzi wakamnasa Mourinho kwenye hii video akiondoka uwanjani baada ya kufukuzwa kazi Chelsea
December 17 uongozi wa club ya soka ya Chelsea kupitia kwa mmiliki wake Roman Abramovich ulitangaza uamuzi wa kumfuta kazi kocha Jose Mourinho baada ya kuongoza Chelsea mechi 16 msimu huu, kufungwa tisa, kushinda nne na kutoa sare mechi tatu. Mourinho alipelekewa taarifa za kufutwa kwake kazi akiwa uwanjani akifanya mazoezi na timu ambapo Waandishi wa habari wasioacha tone la […]
The post Mapaparazzi wakamnasa Mourinho kwenye hii video akiondoka uwanjani baada ya kufukuzwa kazi Chelsea...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55I7ZlFg1qyxYmxm997bDtMCrfjr**5A8IjAerXx*xDFx9X7avQ-yCqomGic-nbEYiblsZ3UEwMyLKhkKCTnAzrV/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA
9 years ago
Bongo520 Oct
Baada ya kutoka Hijja: Majuto hafanyi tena filamu za aina hii