Baby Madaha ataka ubunifu kwenye kazi
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu pamoja na muziki, Baby Madaha, amesema sanaa ya sasa inatakiwa kuwa na ubunifu, ili kuweza kufikia katika kiwango cha juu.
Akizungumza na MTANZANIA, Madaha alisema asilimia kubwa ya wasanii wanakuwa hawana ubunifu katika sanaa, kitu ambacho kinawafanya washindwe kufanya vizuri.
“Mashabiki wetu wameendelea sana na wanajua kitu bora na magumashi. Hivyo kwa sasa tunatakiwa tuendeleze ubunifu ili kuweza kuwagusa mashabiki wetu na hata kuwafikia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies27 Aug
Baby Madaha Kujikita Kwenye Utayarishaji wa Filamu Baada ya Kazi Hii
Baby Madaha anajiandaa kutoa ngoma yake mpya ambayo huenda ikawa ni ya mwisho.
Muimbaji huyo ameimbia Bongo5 kuwa focus yake kubwa kwa sasa ni kuwa mtayarishaji wa filamu. “Nimeamua kujikita kwenye movie zaidi kuliko kwenye muziki,” amesema.
“Nitafanya na Allan Mapigo na nipo kwenye hatua za mwisho kuikamilisha. Baada ya Amore then Corazon nadhani ndio nitawaaga rasmi coz sasa nitaanza kuishi maisha mengine,” ameongeza.
Baby amedai kuwa ana mpango wa kuongeza ujuzi katika masuala ya...
10 years ago
Mtanzania07 May
Baby Madaha: Ubunifu unahitajika kwa wachekeshaji
NA GEORGE KAYALA
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Baby Madaha, amesema ubunifu kwenye kazi za sanaa hasa za uchekeshaji ni jambo la msingi kuzingatiwa kwa kuwa wasanii wengi wa filamu za vichekesho wamekuwa wakilipua kazi zao na kuchosha watazamaji.
“Suala la ubunifu kwenye kazi za sanaa ni jambo la msingi, inatakiwa shabiki akiangalia filamu ya vichekesho asichoke kuiangalia maana haitakuwa na maana kama filamu ya vichekesho, lakini mtu anaitazama mwanzo hadi mwisho amekasirika badala ya...
10 years ago
GPLBABY MADAHA, ISABELA KUONESHANA KAZI LEO
9 years ago
Bongo508 Oct
Baby Madaha: Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 500 kwenye kampuni yangu ya filamu (Picha)
11 years ago
GPLBABY MADAHA
11 years ago
GPLBABY MADAHA: NIMEUMBUKA!
11 years ago
Michuzi11 Feb
11 years ago
GPLBABY MADAHA AUMBUKA
10 years ago
GPLBABY MADAHA CHA WOTE?