Baghdad na mkewe wapata mtoto wao wa kwanza
Rapper Baghdad amekuwa baba baada ya mke wake kujifungua mtoto wao wa kwanza.
Mke wa Baghdad, amejifungua mtoto wa kiume Jumanne ya Nov.3.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, rapper huyo alitoa taarifa hiyo njema kwa mashabiki wake;
“Hakika mungu atakupitisha njia zote alizokuandalia na kila jina aliloliandaa utaitwa.
Nashukuru mungu kwa kunipa kibali cha kuitwa baba maana kuzaa sio zali bali ni majaaaliwa.”
Baghdad alifunga ndoa July 25 mwaka huu na mpenzi wake waliyedumu kwa miaka mitatu...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo518 Sep
Mwisho mwampamba na mkewe Mnamibia Meryl wa ‘BBA’ wapata mtoto wao pili wa kiume
9 years ago
Bongo528 Dec
T.I na mkewe Tiny wanatarajia kupata mtoto wao wa tatu

Rapper T.I wa Marekani na mkewe Tameka “Tiny” Cottle-Harris wanatarajia kupata mtoto mwingine atayefikisha idadi ya jumla ya watoto saba wa familia yao.
Taarifa hizo zilitolewa na Tiny December 25 kupitia Instagram.
T.I na Tiny tayari wana watoto wawili, King na Major waliowapata pamoja, huku T.I akiwa ni baba wa watoto wengine watatu, Messiah, Domani na Deyjah aliowapata kwenye mahusiano yake yaliyopita, na Tiny naye ni mama wa mtoto mmoja wa kike Zonnique aliyempata kwenye uhusiano wake...
11 years ago
GPL
HEEE! MUME AMSHTAKI MKEWE KWA WIZI WA MTOTO WAO
10 years ago
Bongo513 Oct
John Legend na mkewe wanatarajia kupata mtoto wa kwanza
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Kilimanjaro wapata mrembo wao mpya
HAPPYNESS Samwel (18), juzi alifanikiwa kubeba taji la Redd’s Miss Kilimanjaro 2014 akirithi kiti cha Winnie Shayo kupitia shindano lililofanyika Ukumbi wa Kilihome, Soweto, Manispaa ya Moshi. Wakati Happyness akivikwa...
10 years ago
GPL
‘RAIS MTARAJIWA’ KANYE WEST NA MKEWE KIM WAHUDHURIA HARUSI YA BOSI WAO
11 years ago
Habarileo14 Aug
Atuhumiwa kulawiti mtoto wa mkewe
MKAZI wa eneo la Majengo mjini Manyoni, Juma Saidi (32) anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto wa mkewe. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 14, anasoma Kidato cha Kwanza katika shule moja ya sekondari wilayani Manyoni na inadaiwa alifanyiwa kitendo hicho juzi saa 6 usiku nyumbani kwao.
11 years ago
Jamtz.Com
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Diamond, Zari wapata mtoto wa kike
NA VICTORIA PATRICK (TSJ)
MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul (Diamond Platinum) na mpenzi wake, Zarina Hassan (Zari) wamefanikiwa kupata mtoto wa kike waliyempa jina Princess Tiffan.
“Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najisikia ndani ya moyo wangu, karibu kwenye ulimwengu Princess Tiffan” aliandika Diamond katika kurasa zake mbalimbali katika mitandao ya kijamii baada ya kumpata mtoto huyo juzi.
Baada ya kuandika hivyo, wadau na wasanii mbalimbali wa sanaa...