Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilimanjaro wapata mrembo wao mpya

HAPPYNESS Samwel (18), juzi alifanikiwa kubeba taji la Redd’s Miss Kilimanjaro 2014 akirithi kiti cha Winnie Shayo kupitia shindano lililofanyika Ukumbi wa Kilihome, Soweto, Manispaa ya Moshi. Wakati Happyness akivikwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wimbo mpya wa wasanii wazawa wa Kilimanjaro wakielezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro — “Kilimanjaro”

IMG-20150506-WA0008

Wimbo unaelezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro, na uzuri wa Mkoa wa kilimanjaro.

 

9 years ago

Bongo5

Baghdad na mkewe wapata mtoto wao wa kwanza

Baghdad

Rapper Baghdad amekuwa baba baada ya mke wake kujifungua mtoto wao wa kwanza.

Baghdad

Mke wa Baghdad, amejifungua mtoto wa kiume Jumanne ya Nov.3.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, rapper huyo alitoa taarifa hiyo njema kwa mashabiki wake;

“Hakika mungu atakupitisha njia zote alizokuandalia na kila jina aliloliandaa utaitwa.
Nashukuru mungu kwa kunipa kibali cha kuitwa baba maana kuzaa sio zali bali ni majaaaliwa.”

Baghdad na mkewe

Baghdad alifunga ndoa July 25 mwaka huu na mpenzi wake waliyedumu kwa miaka mitatu...

 

10 years ago

Michuzi

KILIMANJARO WAPATA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA YA UKAME

Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Severin Kahitwa akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa kwa waratibu maafa mkoani humo yanayoendelea wilayani Hai, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Uratibu maafa kwa Ufadhili wa UNICEF kupitia mradi wa kuijengea jamii uwezo wa kukabili maafa yatokanayo na ukame. Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa yatokanayo na ukame kutoka katika Halmashauri za wilaya ya Same, Hai na Mwanga mkoani Kilimanjaro...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la Ndege la FASTJET lazindua safari mpya kutoka Kilimanjaro — Mwanza na Kilimanjaro — Entebe Uganda

1

Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akiongea na wandishi wa habari Mkoani Arusha leo wakati wa uzinduzi wa safari mpya ya ndege ya Fastjet kutoka Kilimanjaro kwenda Mwanza na Kilimanjaro kwenda Entebe Uganda, pembeni  yake kulia ni Lucy Mbogoro Afisa Mahusiano na Masoko  na kushoto ni Neema David Afisa Biashara wote toka shirika hilo.

6

2

Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akimkabidhi tiketi mwandishi wa habari toka Tbc Sechelela...

 

10 years ago

Bongo5

Mwisho mwampamba na mkewe Mnamibia Meryl wa ‘BBA’ wapata mtoto wao pili wa kiume

Mtangazaji wa kipindi cha ‘Boys Boys’ cha TV 1, Mwisho Mwampamba na mkewe Meryl ambaye walikutana na kuanzisha mahusiano kwenye Big Brother Africa ‘All stars’, wamefanikiwa kupata mtoto wao wa pili kama couple. Meryl ambaye ni Mnamibia amejifungua mtoto wa kiume mwishoni mwa May 2014 ambaye wamemuita ‘King David’. Meryl akiwa na mtoto wa Mwisho […]

 

11 years ago

GPL

MUONEKANO MPYA WA MREMBO WEMA SEPETU

Pichani juu ni taswira za Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu alizotupia katika ukurasa wake wa Instagram ambapo mojawapo aliandika hivi "For my baby... yes you...". Mrembo huyu kwa sasa yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Prezzo amweka wazi mrembo wake mpya

Baada ya drama kutoka kwa Diva, Huddah Monroe na Chagga Barbie, Prezzo ameamua kutulia na msichana asiye na umaarufu wowote. Mrembo mpya wa Prezzo Rapper huyo kutoka Kenya ameshare picha ya mrembo wake mpya kwenye Instagram na kuandika: “My 1st & only #WCW #Rapcellency #TrulyUnruly.”

 

10 years ago

Vijimambo

BANDAMAJI WAPATA MASJID MPYA

Mwenyekiti wa Kamati ya kuendeleza ujenzi wa Misikiti na Madrasa Zanzibar Rais Mstafu wa Tanzania Al-Hajj Ali Hassan Mwinyi akitoa salamu wakati wa hafla ya ufunguzi wa Msikiti Mpya wa Ijumaa wa Kijiji cha Bandamaji Mvumoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.Kulia ya Mzee Mwinyi ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mfadhili wa Ujen zi wa Msikiti huo Sheikh Muhoma.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wa Kijiji cha...

 

9 years ago

Michuzi

ARUSHA WAPATA MEYA MPYA

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Fadhil Nkurlu akifungua rasmi Baraza la Madiwani wa Jiji la Arusha. Mwenyekiti wa muda wa Mkutano wa Baraza la Madiwani Jijini Arusha, Ndg. Daniel Machunda ambaye pia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha akikabidhi madaraka hayo kwa Mstahiki Meya mara baada ya kuchaguliwa kwa kura 33 kati ya kura 34 zilizopigwa. Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Ndg. Juma Iddi ambaye pia ni Katibu wa Mkutano wa Baraza akitoa muongozo wa namna Mkutano huu wa kwanza unavyoendeshwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani