Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAIKOKO, FFU UGHAIBUNI NA RAS JHIKO MAN KUMWAGA LAZI UJERUMANI

Wasanii kutoka Tanzania wanatarajiwa kupamba maonesho makubwa mbalimbali nchini Ujerumani katika msimu wa joto. Waliopata nafasi hiyo ni pamoja na kikundi maarufu cha ngoma ya Baikoko kutoka mkoani Tanga (picha ya juu).   Wengine ni mwanamuziki nguli wa reggae, Jhikoman & Afrikabisa band kutoka Bagamoyo, Pwani (picha ya chini) ambaye amealikwa rasmi na Afrikative Organization kushiriki onyesho kubwa la International Africa Festival Tubingen 2014 yanayoanza 17 mpaka 20 julai 2014 huko...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA WA FFU UGHAIBUNI

Leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU-Ughaibuni  ya kule ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja aka mkuu wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Alien" alizaliwa mjini Dar-es-Salaam.
Akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja), Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja ni mtunzi na mwimbaji  mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday  yake.
Unaweza kuburudika na...

 

9 years ago

Vijimambo

NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI

Kikosi Kazi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni chenye maskani nchini ujerumani juzi siku ya Jumamosi ya 5 September 2015 kilifanikiwa kufunika katikaonyesho Vechelde Festival nchini Ujerumani.bendi hiyo maarufu barani ulaya kwa kuwadatisha washabiki wa muziki wa kiafrika kule ughaibuni imejijenga umaarufu katika kila kona na kuwekwa kileleni katika nafasi ya juu na washabiki wake wakimataifa.inaongozwa na kamanda Ras Makunja na kuwa na utajiri wa wanamuziki vijana wenye wingi wa vipaji...

 

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND (AKA FFU-UGHAIBUNI)WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI

Kikosi Kazi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni chenye maskani nchini ujerumani juzi siku ya Jumamosi ya 5 September 2015 kilifanikiwa kufunika katika onyesho Vechelde Festival nchini Ujerumani. Bendi hiyo maarufu barani ulaya kwa kuwadatisha washabiki wa muziki wa kiafrika kule ughaibuni imejijenga umaarufu katika kila kona na kuwekwa kileleni katika nafasi ya juu na washabiki wake wakimataifa.  Inaongozwa na kamanda Ras Makunja na kuwa na utajiri wa wanamuziki vijana wenye wingi wa...

 

11 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI JINO KWA JINO NA WASHABIKI WA TUBINGEN, UJERUMANI MWISHO MWA WIKI HII !

Tubingen,Ujerumani,Washabiki na wadau wa muziki nchini Ujerumani wanatarajia kujimwaga katika maonyesho ya 5th International African Festival Tubingen 2014, Ujerumani, yanayoanza wiki hii 17 Julai, 2014 hadi 20 Julai, 2014ambako bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band inatarajiwa kutumbuiza Usiku wa jumamosi katika maonyesho hayo.Bendi hiyo  inayoongozwa na kamanda Ras Makunja, kama ujuavyo ni yenye mazoea ya kuwatia kiwewe washabiki kila wanapotumbuiza.

 

10 years ago

Vijimambo

KICHEKO CHA KAMANDA RAS MAKUNJA WA FFU KULIKONI ?

Kia aliyemuzunguka kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa band aka FFU-ughaibunialishutushwa na kicheko cha kamanda ! watu tunajiuliza kulikoni kamanda kafurahi mpaka meno yote yanaonekana !Labda tujiunge nao FFU ili kujua zaidi kulikoni kamanda kacheka sana at www.ngoma-africa.com

 

11 years ago

Michuzi

FFU UGHAIBUNI WATOA MKONO WA IDD EL FITR

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka "FFU Ughaibuni"  yenye makao yake nchini Ujerumani, inawapa mkono wa IDD el Fitr wadau wote wa ndani na nje ya Tanzania.Sherehekeeni sikuu ya EID MUBARAKA kwa amani na furaha
EID MUBARAKA ! EID MUBARAKA ! EID MUBARAKAmsikose kusikiliza at www.ngoma-africa.com http://www.ngoma-africa.com

 

10 years ago

Michuzi

salamu toka kwa FFU UGHAIBUNI THE NGOMA AFRIKA BAND

Bendi ya Muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibu,yenye makao nchini Ujerumani ,inawatakia wadau wote popotepale MERRY X-MASS,msherehekee kwa Amani na Upendo.

 

9 years ago

Vijimambo

FFU-UGHAIBUNI WANAZO SABABU ZOTE ZA KUMKUBALI JOHN MAGUFULI

Kiongozi wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani UlayaNgoma Africa band, Kamanda Ras Makunja amefunguka kwa kusema kuwayeye na kikosi kazi chake wanazo sababu zote za kumkubali mgombea urais wa chama tawala Mheshimiwa John Pombe Magufuli ashinde kwa kishindo kikubwa katika uchaguzi mkuu utakao fanyika 25 oktoba 2015.Mkuu huyo wa Ngoma Africa band akikaririwa bila kigugumizi ameweka wazi kuwa John Magufuli anatufaa kuwa Rais wa nchi yetu na tunazo sababu zote za kumkubali,mwanamuziki...

 

10 years ago

Michuzi

FFU-Ughaibuni wafanya kweli Liga Summer Festival 2015

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band maarufu kamaFFU ughaibuni ukipenda waite viumbe wa ajabu Anunnaki Alien juzi wikiendi walifanikiwa kuwadatisha washabiki wa muziki nchini Latvia katika maonyesho ya Summer Festival,yaliyofanyika Liga. Bendi hiyo yenye makao yake nchini Ujerumani inayoongozwa na mwanamuziki mahiri Ebrahim Makunja aka  Kamanda Ras Makunja,imejizolea umaarufu wa kimataifa kwa kutumia mdundo wake wa "Bongo Dansi" uliochanganywa na rumba la kukata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani