Bajeti mpya balaa
![](http://2.bp.blogspot.com/--Q_L4hMndmk/U5bWBn4v3LI/AAAAAAAABOk/mZ2Z15QGAiY/s72-c/MWIGULU+Nchemba.jpg)
Serikali yatangazia kiama wakwepa kodi
Watakaopewa misamaha sasa kutangazwa
Vikao vya chai marufuku, maendeleo kwanza
NA SELINA WILSON, DODOMA
SIKU chache kabla ya kusomwa kwa bajeti ya serikali bungeni, wafanyabiashara na vigogo wanaokwepa kodi kwa kujificha kwenye mwamvuli wa misahama hawako salama, imeelezwa.
Hatua hiyo imetokana na serikali kuonya kuwa, haitawaogpa wala kuwaonea haya wakwepa kodi na kwamba, kuanzia sasa misamaha yote itawekwa hadharani.
Pia, imesema kuwa kila msamaha...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Mb Dog akamilisha mbili mpya bomba balaa
Msanii Mb Dog pichani.
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MWIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed Mb Dog, amekamilisha nyimbo nyingine mbili mpya zinazojulikana kama “Ya Moto” na “Demu Mwingine”.
Kukamilika kwa nyimbo hizo ni mwendelezo wa mikakati ya msanii huyo kufanya kazi nzuri ili kumuweka katika kiwango cha juu katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mb Dog alisema kwamba nyimbo hizo amezirekodi katika Studio yake ya Macoppa, zilizopo...
11 years ago
Mwananchi13 Jun
BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda
11 years ago
Mwananchi14 Jun
MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014
10 years ago
Mwananchi02 Jun
UCHAMBUZI WA BAJETI: Bajeti ya Ujenzi imekidhi vigezo
5 years ago
MichuziUTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2019/20 NA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA 2020/21
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,...
11 years ago
Michuzi08 May
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lnNHCVxKyAK32I9eqvb-1EYXjZmtHsHg5XrVmyHlxvPmnc6dMJsYARYuQSWBpiPRu4cuApNjT6zag889agKXCh7iLPCc3Xpt/vikoba.gif?width=650)
BALAA LA VIKOBA