Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALAA LA VIKOBA

Chande Abdallah na Deogratius Mongela MAJANGA! Mwanamke mmoja, Catherine Melzedeki mkazi wa Mzinga, Kitunda jijini Dar ambaye ni Mweka Hazina wa kikundi cha Vikoba amezua balaa baada ya kukombwa samani za ndani kufuatia kushindwa kulipa hela ya upatu inayofikia shilingi milioni 1.2. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1IDtqrw

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Wanachama wa Vikoba Wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Kongamano la Wanachama wa Vikoba Arusha.

Maafisa kutoka Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF)wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfukohuo.Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli"Wanachama wa VIKOBA mkoa wa Arusha wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF).Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli".(Picha na...

 

10 years ago

Mwananchi

Vikoba vimewainua wanawake wengi nchini

Uwepo wa vikundi vya Vicoba nchini inaaelezwa kwamba vimesaidia kwa kiasi kikubwa na kuwezesha watu wengi hasa wale kipato cha chini na kile cha kati kujiinua kiuchumi na hivyo kumudu kuendesha maisha katika hali ya unafuu.

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA WANACHAMA WA VIKOBA WA ARUSHA LAPATA MWITIKIO MKUBWA

Sehemu ya umati wa wanachama wa VIKOBA mkoa wa Arusha wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF).Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli". Maafisa kutoka Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF)wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfukohuo.Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya...

 

10 years ago

GPL

CHAMA CHA VIKOBA ENDELEVU MAZINGIRA CHAZINDULIWA RASMI SINZA

Mratibu wa kikundi hicho, Doris Dulle, kulia akifafanua jambo kwa wanachama.  Kushoto ni mratibu mwenza, Rose Anthony, katikati ni Irene Mwamfupe Ndauka. Wakijadili katiba ya kikundi hicho. Wanachama wakifanya maombi kabla ya kuanza ufungunzi wa chama hicho. WANACHAMA wa kikundi cha Vikoba…

 

11 years ago

Michuzi

MH: NAMELOK SOKOINE ATIMIZA AHADI YAKE KWA KIKUNDI CHA VIKOBA- ARUSHA

Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Arusha, Namelok Sokoine (kushoto), akikabidhi Shs. milioni 5 kwa Mwenyekiti wa Vikoba Kata ya Engutoto, Bilhuda Kisasa,  ikiwa ni sehemu ya mchango wake wa shs. milioni 10 alizoahidi kuwasaidia akinamama wa kata hiyo. (Na Mpiga Picha Wetu) Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Arusha, Namelok Sokoine (kulia), akizindua katiba ya vikundi vya vikoba katika kata ya Engutoto Wilayani Monduli jana. Hafla hiyo ilikwenda sambamba na harambee ya kutunisha mfuko wa...

 

11 years ago

Michuzi

MTEMVU AKABIDHI MIKOPO YA MAGARI, BAJAJI, PIKIPIKI NA FEDHA TASLIMU KWA VIKOBA TEMEKE

 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akimkabidhi ufunguo wa gari aina ya Noah katibu Mkuu wa Saccos ya Tujikwamue ya Chang'ombe, Dar es Salaam, Itika  Mwankenja katika hafla ya Taasisi ya PFT ya kukabidhi mikopo ya magari, bajaji, pikipiki na fedha kwa vicoba mbalimbali, Temeke, Dar es Salaam juzi. Mtemvu ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG  Itika akiangalia wakati Mtemvu akiliwasha gari hilo.  Mtemvu akikabidhi mkopo wa bajaji kwa moja ya wana vicoba

 

11 years ago

GPL

BALAA LA PASAKA

KIFO njenje! Baba aliyetajwa kwa jina moja la Nuhu maarufu kama ‘Mzee Kijana’ (54), nusu auawe na raia wenye hasira kali, msimu wa Pasaka kisa kikiwa ni kuachiwa kwa dhamana isiyoeleweka baada ya kunaswa kwa kosa la ulawiti wa madenti. Baba aliyetajwa kwa jina moja la Nuhu maarufu kama ‘Mzee Kijana’ (54) anusurika kifo baada ya fumanizi Aprili 19 (Ijumaa Kuu), mwaka huu maeneo ya Tuangoma Mjimwema,...

 

11 years ago

GPL

BALAA GESTI

Stori: MWANDISHI WETU
DUNIA ina mambo jamani! Mfanyabiashara wa madini aliyefahamika kwa jina moja la Jimmy amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na mkewe akiwa na kimada gesti. Tukio hilo lililofunga mtaa kwa kujaza wambea kibao, lilitokea hivi karibuni ndani ya gesti hiyo (jina tunalo) Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mke wa mfanyabiashara huyo (jina halikupatikana mara moja), alimnasa mumewe  akijiandaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani