Mb Dog akamilisha mbili mpya bomba balaa
Msanii Mb Dog pichani.
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MWIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed Mb Dog, amekamilisha nyimbo nyingine mbili mpya zinazojulikana kama “Ya Moto” na “Demu Mwingine”.
Kukamilika kwa nyimbo hizo ni mwendelezo wa mikakati ya msanii huyo kufanya kazi nzuri ili kumuweka katika kiwango cha juu katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mb Dog alisema kwamba nyimbo hizo amezirekodi katika Studio yake ya Macoppa, zilizopo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-U7XwKbp4ikE/UzM771rcUPI/AAAAAAAFWto/h-Fhr48uwFY/s72-c/unnamed+(20).jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi ahitimisha Ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua mradi wa bomba la gesi aasilia
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Mb Dog kuitambulisha video mpya Januari Mosi
MB Dog akitoa vionjo vya wimbo wake mpya wa Siyo Siri kwa waandishi wa habari (hawapo pichani).
Mkurugenzi wa QS Mhonda J Entertainment, Joseph Mhonda akizungumza jambo katika mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya King D iliyopo Sinza-Afrika Sana jiji ni Dar. Kushoto kwake ni Direkta Abby Kazi, kulia ni msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Q-Chillah.
Mhonda (kushoto) akimkabidhi Direkta Abby Kazi kitita cha shilingi milioni ishirini kama ada ya kumsajili katika Kampuni ya QS Mhonda J...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Mabibi na Mabwana Mb Dog katuletea hii single mpya ‘Sio Siri’ isikilize hapa…..
Unapolitaja jina la Mb Dog au Dog Man tayari unajua ni nani anayezungumziwa ambaye kwa kipindi cha nyuma hit kama Latifa,Mapenzi kitu gani,Inamaana na zingine nyingi zilimueka kwenye headline na kuzungumziwa kila mara. Sasa time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Sio Siri isikilize hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]
The post Mabibi na Mabwana Mb Dog katuletea hii single mpya ‘Sio Siri’ isikilize hapa….. appeared first on...
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/--Q_L4hMndmk/U5bWBn4v3LI/AAAAAAAABOk/mZ2Z15QGAiY/s72-c/MWIGULU+Nchemba.jpg)
Bajeti mpya balaa
Serikali yatangazia kiama wakwepa kodi Watakaopewa misamaha sasa kutangazwa Vikao vya chai marufuku, maendeleo kwanza
NA SELINA WILSON, DODOMA
SIKU chache kabla ya kusomwa kwa bajeti ya serikali bungeni, wafanyabiashara na vigogo wanaokwepa kodi kwa kujificha kwenye mwamvuli wa misahama hawako salama, imeelezwa.
Hatua hiyo imetokana na serikali kuonya kuwa, haitawaogpa wala kuwaonea haya wakwepa kodi na kwamba, kuanzia sasa misamaha yote itawekwa hadharani.
![](http://2.bp.blogspot.com/--Q_L4hMndmk/U5bWBn4v3LI/AAAAAAAABOk/mZ2Z15QGAiY/s1600/MWIGULU+Nchemba.jpg)
Pia, imesema kuwa kila msamaha...
11 years ago
Mwananchi24 Apr
Dar yapendekeza wilaya mbili mpya
10 years ago
Mtanzania30 Sep
Mchuano mkali theluthi mbili Katiba Mpya
![Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar, Ali Juma Khatib, akipiga kura ya ya siri kwa sura 10 za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Ali-Juma-Khatib.jpg)
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar, Ali Juma Khatib, akipiga kura ya ya siri kwa sura 10 za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
MCHUANO mkali umeibuka bungeni jana wakati wa upigaji kura wa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, ambapo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar walipiga kura ya HAPANA
Upigaji kura ulianza jana saa 9 alasiri kwa wajumbe kupiga kura katika sura 10 na ibara 157 za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Hatua hiyo ilitawaliwa na wajumbe wengi kutoka...
10 years ago
Bongo524 Nov
Ngoma mbili mpya za Roma Mkatoliki zinakuja
10 years ago
GPL11 Sep