Balozi aibiwa simu Ikulu
SHEREHE za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zimekuwa chungu kwa balozi mmoja nchini, baada ya kuibiwa simu yake ya mkononi yenye thamani ya zaidi ya sh milioni...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Dk Shein Azungumza na Balozi wa Tanzania Uholanzi na Balozi Mpya ya Jamuhuri ya Algeria Ikulu Zanzibar.



10 years ago
Vijimambo
Balozi mpya wa Denmark nchini na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malawi wakutana na Dk Shein Ikulu


11 years ago
Dewji Blog23 Oct
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Botswana nchini Tanzania Ikulu Dar, akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana,...
10 years ago
MichuziBALOZI WA MISRI AMUAGA RAIS KIKWETE IKULU
11 years ago
Michuzi
Balozi Mathew Kisamba Aaga leo ikulu zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Lt.Gen Wynjones Mathew Kisamba alipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo .(Ramadhan...
11 years ago
Dewji Blog28 May
Katibu Mkuu Kiongozi akutana na Balozi wa Finland Ikulu
Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Mhe Sinikka Antilla alipokutana naye Ikulu Dar es salaam jana Mei 27, 2014.
Balozi Antila ndiye Mwenyekiti wa Kundi la Nchi 12 Washirika wa Maendeleo zinazosaidia bajeti ya Tanzania (General Budget Support Group), na amechukua nafasi hiyo tangu mwezi April mwaka huu.
Lengo la Balozi Antila kuonana na Katibu Mkuu Kiongozi ni kujitambulisha kwa wadhifa huo mpya na kueleza jinsi atavyotekeleza jukumu...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Balozi wa Uholanzi azungumza na Rais Dk.Shein,Ikulu Zanzibar leo
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
VijimamboBALOZI WA MSUMBIJI AFIKA IKULU KUMUAGA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN