BALOZI AMINA SALUM ALI AANZA KUAGWA WASHINGTON, DC KWA SAFARI YA KURUDI NYUMBANI TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-15ig9u-SWs0/VdoaPnSET3I/AAAAAAAD4c0/UlVcgY11X60/s72-c/533151e8d80a8f2ac448b75f488b2b2f.jpg)
Balozi Amina Salum Ali katika harakati za kurudi nyumbani ameanza kuonana na viongozi wa serikali ya marekani.hapa amefuatana na ofisi wa u balozi wa Afrika akiwa na Balozi Linda Greenfield Msaidizi wa seketari anayeshughulikia Afrika leo asubuhi ofisi ya mambo ya nje Washington dc
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-uZrF4E5Nthk/VeVQp6sOY5I/AAAAAAAD5Lo/1OFxFyGvYzY/s72-c/2ccdc594102031db14b925ab8733afbb.jpg)
AFRICA UNION WAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI, WASHINGTON, DC
![](http://1.bp.blogspot.com/-uZrF4E5Nthk/VeVQp6sOY5I/AAAAAAAD5Lo/1OFxFyGvYzY/s640/2ccdc594102031db14b925ab8733afbb.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-zLZipYT8mrQ/VeVQqDkFKoI/AAAAAAAD5Ls/tfP1kwvuyjk/s640/805304919b2d7a0b92eaa54c5dd50c46.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-6z9mCDQgufo/VeVQq37MR1I/AAAAAAAD5L8/28BIdkmBSNM/s640/b08da26aeedb786b164e77a101683bff.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vzg-qYuc1q8/VeVQqoVirBI/AAAAAAAD5MU/t_Eb87Vz6O4/s640/a385d3ac54c18423e826db793d449962.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ag6E-NlF3II/VeVQqX3TziI/AAAAAAAD5L0/sUg_S_9klTw/s640/8798e2c97a11113976084dc8aa51a045.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sZX9SCxkI0Y/VZqFINMtwrI/AAAAAAADVXg/WxYPG_i8zEs/s72-c/am1.jpg)
Balozi Amina Salum Ali azungumzia matarajio yake endapo atapitishwa na CCM kuwania urais wa Tanzania
![](http://1.bp.blogspot.com/-sZX9SCxkI0Y/VZqFINMtwrI/AAAAAAADVXg/WxYPG_i8zEs/s640/am1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NR2vatpdWx4/VZqFGr1y-MI/AAAAAAADVXU/0z7eZpiU6KM/s640/am2.jpg)
10 years ago
GPLMHE. AMINA SALUM ALI AMKARIBISHA ERASTUS J.O. MWENCHA, WASHINGTON DC
Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali, akipata picha ya pamoja na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, baada ya mapokezi kwa ziara yake maalum, siku ya Jumatano Feb 25, 2015 ndani ya Washington Dulles International Airport.( Picha na swahilivilla.blogspot.com) . Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini… ...
10 years ago
VijimamboMhe. Amina Salum Ali amkaribisha Erastus J. O. Mwencha, Washington DC
10 years ago
BBCSwahili12 Jul
Historia ya Balozi Amina Salum Ali wa CCM
Chama tawala nchini Tanzania CCM kimemteua bi Amina Salum Ali kuwa mgombea mwenza wa daktari John Pombe Magufuli
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-uroaeHEvAWw/VVyV2IoPcMI/AAAAAAAAT1I/tcbNUFjpdKU/s72-c/Amina%2BSalum%2BAli.jpg)
BALOZI AMINA SALUM ALI ATANGAZA KUWANIA URAIS
![](http://3.bp.blogspot.com/-uroaeHEvAWw/VVyV2IoPcMI/AAAAAAAAT1I/tcbNUFjpdKU/s640/Amina%2BSalum%2BAli.jpg)
Balozi Amina ametangaza uamuzi wake huo mapema leo hapa hapa jijini Dar es Salaam.Itakumbukwa ya kuwa Balozi Amina ambaye alidumu kwa muda mrefu kama waziri kwenye serikali ya Rais mstaafu wa...
9 years ago
VijimamboDIASPORA YA MONTGOMERY COUNTY YAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI
Bwn. Daniel Korona akisherehesha hafla futi ya kumuaga Balozi wa Umoja wa Afrika aliyemaliza muda wake Mhe. Amina Salum Ali iliyoandaliwa na Jumuiya ya Diaspora kutoka Afrika wanaoishi Montgomery county iliyofanyika siku ya Jumatano Sept 2, 2015 Silver Spring, Maryland.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-lwXvNvwiOjk/VOkvmHwzAvI/AAAAAAADaCc/xDA3zAr38Ng/s72-c/Amina%2BAlly.jpg)
BALOZI AMINA SALUM ALI AHUTUBIA MKUTANO WA AFRICANA CONFERENCE MASSACHUSETTS
![](http://2.bp.blogspot.com/-lwXvNvwiOjk/VOkvmHwzAvI/AAAAAAADaCc/xDA3zAr38Ng/s1600/Amina%2BAlly.jpg)
katika hotuba yake alichukua nafasi kuzungumzia masuala ya Afrika na umuhimu wa bara la Afrika kuwa...
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Balozi Amina Salum Ali alivyovuka kiunzi cha Kamati Kuu
Mwanadiplomasia Amina Salum Ali alitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mei 21 jijini Dar es Salaam.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania