Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Iddi kugombea uwakilishi Mahonda

MAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi akihutubia wanachama wa CCM.SIKU moja tu baada ya Tume ya Uchaguzi (ZEC) kutangaza mipaka ya majimbo mapya ya uchaguzi, baadhi ya viongozi wametangaza nia ya kuwania nafasi za Uwakilishi na Ubunge katika majimbo hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ACHUKUA FOMU KUWANIA UWAKILISHI JIMBO LA MAHONDA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikabidhiwa Fomu na Katibu wa CCM Wilaya ya Kaskazini “B “ Bibi Subira Mohammed kuomba ridhaa kwa CCM kugombea Uwakilishi Jimbo Jipya la Mahonda.Katibu wa Chama cha Mapinduzi {CCM} Wilaya ya Kaskazini “B “ Bibi Subira Mohammed akimpatia maelezo Balozi Seif mara baada ya kumkabidhi Fomu kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kugombea Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Jimbo la Mahonda hapo Ofisi ya CCM Wilaya hiyo Mahonda.
Balozi Seif...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ATANGAZA NIA YA KUWANIA UWAKILISHI KUPITIA JIMBO JIPYA LA MAHONDA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiagana na Wajumbe wa Kamati za siasa za Mkoa wa Kaskazini Unguja, Wilaya ya Kaskazini B Jimbo la zamani la Kitope na Kamati tekelezaji za UWT na Vijana ambao alifanya kazi nao pamoja katika kipindi cha miaka 10 akiwa Mbunge wa Jimbo la zamani la Kitope.Kulia ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini “B” Nd. Hilika Ibrahim Khamis na kushoto ya Balozi Seif ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja ambae pia ni...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AWAONGOZA WALIOPITISHWA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI JIMBO LA MAHONDA KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA HUU KUWASHUKURU WANA CCM

Mgombea Nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Jimbo la Mahonda kwa tiketi ya CCM Balozi Seif Ali Iddi kwa niaba ya wagombea wenzake wa nafasi mbali mbali akiwashukuru wanachama wa CCM wa Matawi yaliyomo ndani ya Jimbo hilo katika Mikutano tofauti kwa kuwachaguwa katika kura za Maoni zilizopita mwezi Agosti mwaka huu.Wanachama wa CCM wa Tawi la Kitope “B” wakiwa katika Mikutano ya kupongezwa baada ya kuwachagua wagombea wao wa nafasi tofauti kwenye kura za Maoni.
Baadhi ya wanachama wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ARUDISHA FOMU YA KUWANIA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI JIMBO LA MAHONDA

Vijana wa Umoja wa Mapiki piki Wa CCM Wilaya ya Kaskazini “B” wakimsindikiza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akirehesha fomu za kuwania kugombea uwakilishi Jimbo la Mahonda.Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi Fomu za kuwania kugombea Ujumbe wa Baraza la Wawakilushi Jimbo la Mahonda kwa Afisa wa Uchaguzi Wilaya ya Kaskazini “B” Nd. Makame Pandu Khamis ofisi ya Tume hiyo iliyopo Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa Jimbo la...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AJITAMBULISHA KWA VIONGOZI WA KAMATI ZA SIASA ZA CCM JIMBO LA MAHONDA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halamshauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Viongozi wa Kamati za Siasa wa Matawi Manne yaliyotoka Donge na Bumbwini kwenye Mikutano tofauti alipokwenda kujitambulisha akifafanua azma yake ya kutaka kugombea Jimbo Jipya la Mahonda nwa nafasi ya Uwakilishi. Mke wa Balozi Seif Mama Asha Suleiman Iddi akiwahamasisha wanawake wenzake kujitokeza kwa wingi wakati wa kupiga kura na kuichagua CCMiendelee kushika Dola na kulinda amani iliyopo nchini.

 

11 years ago

Michuzi

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia aagana na balozi iddi seif zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Idd Seif akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima alipokwenda kumtembelea Ofisini kwake Zanzibar. Dkt. Mlima alikwenda kujitambulisha na kuwaaga viongozi wa Juu wa Kitaifa Zanzibar, na alikutana na Makamu wa Kwanza Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Seif Shariff Hamad. Dkt. Mlima aliteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kwenda kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake

Kampuni ya Ms Shimoja  yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan  Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI IDDI AKUTANA NA BALOZI WA UJERUMANI NCHINI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke ofisini kwake vuga Mjini Zanzibar. Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke akibadilisha mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif katika jitihada za kuimarisha ushirikiano kati ya Ujerumani na Zanzibar. Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani