Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI KAMALA ATEMBELEA IDHAA YA KISWAHILI YA RADIO DEUTSCHE WELLE

Mkuu wa Idara ya Kiswahili ya Radio Deutsche WELLE Bi. Andrea Schmidt akimshukuru Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya baada kubadilishana mawazo kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Jumuiya ya Ulaya ofisini kwake Bonn.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

waziri samia suluhu hassan atembelea ofisi za idhaa ya kiswahili Radio DW mjini Bonn

 Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano)  Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa ziara yake katika makao makuu ya DW Swahili Radio  mjini Bonn   Mkurugenzi msaidizi idara ya Mazingira katika Ofisi ya Mkamu wa Rais Bw. Richard Muyungi katika Mahojiano na Mtangazaji wa DW Radio Bw. Sudi Mnete kuhusu kilimo rafiki na mazingira na mkutano wa makataba wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini Bonn.  Mh. Samia Suluhu Hassan aliyekaa, akiwa na mtangazaji wa Radio DW idhaa...

 

11 years ago

Michuzi

Mtaalamu wa tiba asilia toka Tanzania Dokta Mwaka Juma atembelea idhaa ya Kiswahili DW

Mtaalamu wa tiba asilia toka Tanzania Dokta Mwaka Juma ametembelea Makao Makuu ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani (DW) jijini Bonn akiwa katika ziara ya mafunzo nchini Ujerumani na hasa kustawisha tiba mbadala kwa afya. Pamoja na DW anatembelea vyuo na taasisi mbalimbali za tiba.  Dokta Mwaka Juma akiwa na mkuu wa Idhaa ya Kiswahili DW  Dokta Mwaka Juma akisalimia na Abdul Mtullya  Dokta Mwaka Juma akiwa na Josephat Charo  Dokta Mwaka Juma akiwa na Samia Othman pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONYESHO YA UTALII BRUSSELS

Balozi wa Tanzania BELUX na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa kampuni ya ORIGO Bwana Lieven De Koker anayeshiriki Maonyesho ya Utalii ya Brussels. Bwana Lieven anakaa Arusha na kampuni yake inashiriki Maonyesho ya Utalii ya Brussels kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania na nchi nyingine za Afrika. Balozi Kamala ameishukuru Bwana Lieven kwa kazi anayofanya ya kutangaza utalii wa Tanzania.
Balozi wa Tanzania BELUX na Jumuiya ya...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Property International Bwana. A. Haleem alipomtembelea banda la kampuni hiyo inayoshiriki Maonesho ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam. Kampuni hiyo inatoa huduma za kupima ardhi na viwanja kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONESHO YA UTALII BRUSSELS

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimshukuru mwakilishi wa kampuni ya utalii ya Escape Bwana Nassri Chaouki baada ya kutembelea banda la kampuni hiyo inayoshiriki Maonesho ya Utalii ya Brussels. Balozi Kamala aliishukuru kampuni hiyo kwa kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania. Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akimsikiliza mwakilishi wa kampuni ya utalii ya Terre D'Afrique ya Brussels inayotangaza vivutio vya utalii vinavyopatikana...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI YA TRACTEBEL ENGINEERING S.A. YA UBELGIJI

 Balozi wa Tanzania  Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya  ya Ulaya Dr. Diodorus  Kamala akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi pamoja na wadau kutoka Tanzania katika sekta mbalimbali za usafirishaji wa majini ,anga na reli.Kulia kwa Dr Kamala ni Mkurugenzi wa Tractebel Engineering nchini Ubelgiji bwana Hein Dirix na kushoto kwa Balozi Kamala ni Mh. Nazir Karamagi mkurugenzi mtendaji wa Tanzania International Container Terminal Service Limited. Picha na Maganga One

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAMPUNI YA ABC UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji,Dk. Diodorus Kamala akiangalia mtambo wa kufua umeme unaotengenezwa na kiwanda cha ABC cha Ubelgiji. Mtambo huo ni kati ya mitambo itakayopelekwa Mpanda Tanzania.

 

11 years ago

GPL

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI YA TRACTEBEL ENGINEERING S.A. YA UBELGIJI‏

Balozi wa Tanzania  Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya  ya Ulaya Dr. Diodorus  Kamala akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi pamoja na wadau kutoka Tanzania katika sekta mbalimbali za usafirishaji wa majini ,anga na reli.Kulia kwa Dr Kamala ni Mkurugenzi wa Tractebel Engineering nchini Ubelgiji bwana Hein Dirix na kushoto kwa Balozi Kamala ni Mh:Nazir Karamagi mkurugenzi mtendaji wa Tanzania International Container...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanalibeneke Edwin Moshi ndani ya Radio Wüste Welle Ujerumani

cwp photography :: www.wohlwill.de

Redio Wüste Welle ni kituo cha redio ya kijamii kilichopo kwenye mji wa Tübingen nchini Ujerumani ambacho kimekuwa kikijihusisha na shughuli za kijamii ikiwemo kutoa mafunzo ya vitu mbalimbali vinavyohusiana na taaluma ya uandishi wa habari. Mdau Edwin Moshi alikuwa ni mmoja wapo kati ya waliopata hiyo fursa ya kutembelea kituo hicho cha redio. Mbali na shughuli zake za utangazaji wa redio pia ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa EDDY BLOG cwp photography :: www.wohlwill.de cwp photography :: www.wohlwill.de

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani