BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONESHO YA UTALII BRUSSELS
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimshukuru mwakilishi wa kampuni ya utalii ya Escape Bwana Nassri Chaouki baada ya kutembelea banda la kampuni hiyo inayoshiriki Maonesho ya Utalii ya Brussels. Balozi Kamala aliishukuru kampuni hiyo kwa kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania. Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akimsikiliza mwakilishi wa kampuni ya utalii ya Terre D'Afrique ya Brussels inayotangaza vivutio vya utalii vinavyopatikana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONYESHO YA UTALII BRUSSELS
Balozi wa Tanzania BELUX na Jumuiya ya...
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA ATEMBELEA MTAA UNAOITWA TABORA ULIOPO JIJINI BRUSSELS UBELGIJI
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA
9 years ago
MichuziBALOZI KAMALA ATUNUKIWA NISHANI YA BALOZI BORA WA AFRIKA BRUSSELS
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa taasisi ya Global Change for Africa Award Mhe. Dr. Phillip Collins baada ya kutunukiwa nishani ya Balozi Bora wa Afrika Brussels wa mwaka 2015. Balozi Kamala katunukiwa nishani hiyo jijini Berlin Ujerumani kwa kuzingatia utendaji wake alipokuwa Waziri wa Afrika Mashariki, Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika, Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific, na Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Uholanzi,...
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA BRUSSELS AIRLINE
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUMI NA BIASHARA WA SERIKALI YA BRUSSELS
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA UWEKEZAJI NA BIASHARA YA BRUSSELS
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI YA TRACTEBEL ENGINEERING S.A. YA UBELGIJI
11 years ago
GPLBALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI YA TRACTEBEL ENGINEERING S.A. YA UBELGIJI