Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI KAMALA ATEMBELEA MTAA UNAOITWA TABORA ULIOPO JIJINI BRUSSELS UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Bwana. Rodgriguez Lionel anayemiliki duka katika mtaa unaoitwa Tabora uliopo jijini Brussels Ubelgiji. Mtaa huo ulipewa jina la Tabora mwaka 1916 kama ishara ya kumbukumbu ya ushindi wa majeshi ya nchi mbalimbali dhidi jeshi la Ujerumani katika mapigano ya Tabora - Tanzania ya vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONYESHO YA UTALII BRUSSELS

Balozi wa Tanzania BELUX na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa kampuni ya ORIGO Bwana Lieven De Koker anayeshiriki Maonyesho ya Utalii ya Brussels. Bwana Lieven anakaa Arusha na kampuni yake inashiriki Maonyesho ya Utalii ya Brussels kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania na nchi nyingine za Afrika. Balozi Kamala ameishukuru Bwana Lieven kwa kazi anayofanya ya kutangaza utalii wa Tanzania.
Balozi wa Tanzania BELUX na Jumuiya ya...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONESHO YA UTALII BRUSSELS

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimshukuru mwakilishi wa kampuni ya utalii ya Escape Bwana Nassri Chaouki baada ya kutembelea banda la kampuni hiyo inayoshiriki Maonesho ya Utalii ya Brussels. Balozi Kamala aliishukuru kampuni hiyo kwa kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania. Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akimsikiliza mwakilishi wa kampuni ya utalii ya Terre D'Afrique ya Brussels inayotangaza vivutio vya utalii vinavyopatikana...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI YA TRACTEBEL ENGINEERING S.A. YA UBELGIJI

 Balozi wa Tanzania  Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya  ya Ulaya Dr. Diodorus  Kamala akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi pamoja na wadau kutoka Tanzania katika sekta mbalimbali za usafirishaji wa majini ,anga na reli.Kulia kwa Dr Kamala ni Mkurugenzi wa Tractebel Engineering nchini Ubelgiji bwana Hein Dirix na kushoto kwa Balozi Kamala ni Mh. Nazir Karamagi mkurugenzi mtendaji wa Tanzania International Container Terminal Service Limited. Picha na Maganga One

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAMPUNI YA ABC UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji,Dk. Diodorus Kamala akiangalia mtambo wa kufua umeme unaotengenezwa na kiwanda cha ABC cha Ubelgiji. Mtambo huo ni kati ya mitambo itakayopelekwa Mpanda Tanzania.

 

11 years ago

GPL

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI YA TRACTEBEL ENGINEERING S.A. YA UBELGIJI‏

Balozi wa Tanzania  Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya  ya Ulaya Dr. Diodorus  Kamala akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi pamoja na wadau kutoka Tanzania katika sekta mbalimbali za usafirishaji wa majini ,anga na reli.Kulia kwa Dr Kamala ni Mkurugenzi wa Tractebel Engineering nchini Ubelgiji bwana Hein Dirix na kushoto kwa Balozi Kamala ni Mh:Nazir Karamagi mkurugenzi mtendaji wa Tanzania International Container...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATUNUKIWA NISHANI YA BALOZI BORA WA AFRIKA BRUSSELS



Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa taasisi ya Global Change for Africa Award Mhe. Dr. Phillip Collins baada ya kutunukiwa nishani ya Balozi Bora wa Afrika Brussels wa mwaka 2015. Balozi Kamala katunukiwa nishani hiyo jijini Berlin Ujerumani kwa kuzingatia utendaji wake alipokuwa Waziri wa Afrika Mashariki, Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika, Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific, na Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Uholanzi,...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi kamala akutana na balozi wa ubelgiji nchini tanzania

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ubelgiji Tanzania Mhe. Adam Koeler (wa pili kutoka kulia) baada ya kumaliza kikao cha maandalizi ya ziara ya wadau  wa sekta za  miundombinu ya bandari, reli na kilimo itakayofanyika Ubelgiji kuanzia tarehe 19-23 Mei, 2014. Kikao kimefanyika nyumbani kwa Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA BRUSSELS AIRLINE

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa kampuni ya Brussels Airline Mhe. David Lyssens (kulia) baada ya kumaliza kikao naye ofisini kwake Brussels. Kushoto ni Bwana Geoffrey Kabakaki Mchumi Mhandamizi Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Balozi Kamala ameiomba kampuni hiyo kuingia kwenye biashara ya usafiri wa anga Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUMI NA BIASHARA WA SERIKALI YA BRUSSELS

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimkabidhi kitabu kinachobainisha fursa za uwekezaji Tanzania Waziri wa uchumi na biashara wa serikali ya Brussels Mhe. Didier Gosuin. Balozi Kamala amekutana na waziri Gosuin ofisini kwake Brussels leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani