Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai ashiriki sherehe za kimataifa za usomaji Quran

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omari Mjenga akiwa na wanadiplomasia wenzake kwenye  sherehe za kimataifa za usomaji Quran jijini Dubai leo Mgeni rasmi   Mtukufu Sheikh Maktoum bin Mohamed bin Rashid al Maktoum akiwa picha ya pamoja na washindi. Kulia kwake ni kijana kutoka Nigeria akiyeibuka mshindi. Mheshimiwa Mjenga akiwa na bw. Ali Mwalimu, mshiriki kutoka Tanzania. Mheshimiwa Balozi Mdogo Mjenga akiwa na familia yake kwenye sherehe hizo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai afanya mazungumzo na Balozi Mdogo wa Saudi Arabia Dubai

 Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga amekutana na Balozi Mdogo wa Saudi Arabia, Dubai, ambaye pia ndio Mkuu wa Mabalozi wadogo nchini humo (Dean of Diplomatic Corps)  Mhe. Emad A. Madani katika ofisi za Ubalozi Mdogo wa Saudi Arabia. Mhe. Mjenga alienda kumtembelea ili kuomba ushiriki wake pamoja na Mabalozi Wadogo wote kwenye kongamano la uwekezaji kwenye sekta ya Utalii nchini Tanzania, litakalofanyika tarehe 17 Disemba 2014. Mhe. Emad Madani amesema atashiriki vikamlifu...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI AAGANA NA MAAFISA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA


Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga( watatu toka kushoto) katika picha ya pamoja na maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa walipotembelea ofisini kwake kumuaga. Maafisa hawa ni kati ta timu imara iliyofanikisha ziara ya kikazi ya Mh. Waziri Mkuu.  nchi za Falme za Kiarabu kabla ya Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda kukatisha ziara hiyo baada ya kuitwa nyumbani na Mhe. Rais Jakaya Kikwete.

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai akutana na Balozi Mdogo wa Kenya, Dubai

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai,Mhe. Omar Mjenga (kulia) akisalimiana na Mhe. Kariuki Mugwe, Balozi Mdogo wa Kenya, Dubai wakati alipomtembelea ofisini kwake kwa mazungumzo. Wakiwa katika mazungumzo na kubadilishana mawazo kuhusu njia wanazotumia kuvutia wawekezaji na utalii. Mhe. Kariuki alimueleza Mhe. Mjenga njia wanazotumia kuwatafutia kazi wananchi wao. Kwa sasa Tanzania imeweka mkakati wa kuhakikisha Watanzania wengi wanapata kazi Dubai.

 

11 years ago

Michuzi

balozi mdogo wa ethiopia amtembelea balozi mdogo wa tanzania dubai

 Balozi Mdogo wa Ethiopia Mhe. Yibeltal A. Alemu akikaribishwa na  Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga alipomtembelea ofisini kwake leo mjini Dubai. Balozi Mdogo wa Ethiopia Mhe. Yibeltal A. Alemu na Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga katika mazungumzo. 
Katika mazungumzo yao wanadiplomasia hao  walipata fursa ya kuzungumzia njia muafaka na mbali mbali za kufanya kazi kwa karibu ili kuhakikisha wanavutia utalii na uwekezaji katika nchi zao hasa kwa kuwavutia...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai akutana na Mtendaji Mkuu wa Dubai Chamber of Commerce and Industry

Mhe. Omar Mjenga, amekutana na Mhe. Hamad Buamim, Rais na Mtendaji Mkuu wa Dubai Chamber of Commerce and Industry na kufanya naye mazungumzo.
Katika mazungumzo, wamejadiliana uwezekano wa kuwa na ziara ya kibiashara kwenda Tanzania, kwa makampuni na viwanda vilivyopo Dubai, ili kukutana na wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda Tanzania, ili kujionea na kuibua fursa za uwekezaji. Wamekubaliana ziara hiyo ifanyike mwanzoni mwa mwaka kesho na hivyo basi kuanza maandalizi mapema.
Mwezi Novemba,...

 

11 years ago

Michuzi

DRAGON MART YA DUBAI WAKUTANA TENA NA BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI, MHE. OMAR MJENGA

 Mhe. Omar Mjenga akiwa katika na chakula cha jioni (Dinner) na uongozi wa Dragon Mart ya Dubai, ambao wameonyesha nia kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara, kujenga uwanja wa maonyesho ya biashara wa kisasa utakaokuwa unafanya maonyesho mfululizo kwa mwaka mzima.
Nia yao pamoja na Wizara, ni kujenga kituo cha ubora( centre of excellency) kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika.

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Mhe. Omar Mjenga Akutana na Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai.























Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa katika picha na Mhe. Yousef A. Rahmani Al Mahaira, Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai baada ya kikao chao leo ofisini kwa Mhe. Yousef. Kikao chao kilijadili maandalizi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu na Mtukufu Sheikh Ahmed Bin Saeed Ak Maktoum, Rais wa Idara ya Anga ya Dubai na Mwenyekiti wa Shirika la Ndege...

 

11 years ago

GPL

BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI, MHE. OMAR MJENGA, ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI MDOGO WA MALAYSIA.

Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, akitia saini katika kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi Mdogo wa Malaysia, kufuatia kutunguliwa kwa ndege ya shirika la Malaysia MH17 na abiria wote 298 kupoteza maisha. Mhe. Mjenga na mwenyeji wake, Mhe. Dato Ahmad Fadil Shamsuddin, Balozi Mdogo wa Malaysia wakiwa kwenye mazungumzo pamoja na Balozi Mdogo wa Afrika Kusini, Mhe. Manabile Shogole… ...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi adadi amtembelea balozi mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga

 Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Mhe Adadi Rajabu akiwa na  Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga, Jumeirah, Dubai, leo Mhe Adadi yuko Dubai kwa ziara ya kikazi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani