Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI MERO AWAANDALIA FUTARI WATANZANIA GENEVA

Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Geneva,  Mhe.  Modest Mero (kanzu jeupe) akila futari pamoja na wageni wake mbalimbali wakiwepo watanzania waishio Geneva katika futari maalum aliyowaandalia nyumbani kwake jana. wageni mbalimbali wakijipakulia futari hiyo katika makazi ya Balozi.PICHA ZIDI BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Balozi Modest Mero afanya mazungumzo na Mh. Dkt. Seif Rashid, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na Bi. Agness Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa, Geneva, Uswisi

 Balozi Modest Mero na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Bi. Agness Kijazi katika picha ya pamoja, kwenye makazi ya balozi Tanzania nchini Geneva
Hivi karibuni Mh. Modest Mero, Balozi wa Tanzania, Geneva alifanya mazungumzo ya pamoja na Mh. Dkt. Seif Rashid na Bi. Agness Kijazi, katika makazi ya Balozi, Geneva.
Ujumbe wa Mh. Waziri ulikuwa Geneva kwenye kikao cha Bodi ya " Global Alliance for Vaccines and Immunization", Geneva, ambapo Mh. Waziri ni mjumbe wa Bodi. Na pia...

 

11 years ago

Michuzi

MHE LOWASSA AWAANDALIA FUTARI WAUMINI WA MONDULI

Mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowassa akizungunza na waumi wa dini ya kiislam (hawapo pichani), katika hafla aliyofuturisha katika Msikiti Mkuu wa Monduli mjini. Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh Mwinshehe Mwinyi akizungumza na waumini wakati wa futari iliyoandaliwa na Mh. Lowassa. Baadhi ya waumini wakipata futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa. Mke wa mbunge wa jimbo la monduli Mama Regina Lowassa akizungumza katika ghafla ya futari  iliyoandaliwa na mbunge wa...

 

10 years ago

Michuzi

JK awaandalia Futari Watoto Yatima Ikulu Dar es salaam

 Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu jana jioni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu jana jioni.Rais...

 

11 years ago

Michuzi

maalim seif awaandalia futari watendaji wa CUF nyumbani kwake Mbweni.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipeana mikono  na Sheikh Mohd Khamis (aliyekuwa mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Mjini, baada ya futari aliyowaandalia watendaji wa CUF nyumbani kwake Mbweni. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akibadilishana mawazo na Makamu Mwenyekiti wa CUF, Juma Duni Haji, wakati wa futari aliyowaandalia watendaji wa CUF nyumbani kwake Mbweni. Sheikh Mohd Khamis akiongoza Sala ya Magharibi nyumbani kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Balozi Modest Mero amtembelea Mhe. Balozi Mdogo Omar Mjenga, Dubai.


Katika picha ni Mhe. Modest Mero, Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva alipomtembelea Mhe. Omar Mjenga kwenye makazi yake Jumeirah Dubai.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI MERO AKUTANA NA Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani,Dr. Margert Chan

Balozi wa Kudumu wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa,Geneva,Mhe. Balozi Modest J.Mero amekutana na Dr. Margert Chan, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani, katika ofisi za Shirika la Afya Dunia jana tarehe 31 Januari 2014. 
Huu mkutano ni moja ya mikutano ambayo Mhe Balozi anafanya na wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa yenye makao makuu hapa Gevena, Uswisi Katika kajenga mahisiano ya karibu kikazi. Katika mkukutano huu msimamo wa Tanzania kuhusu masuala mbalimbali ya Afya...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI MERO AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LINANOPAMBANA NA UKIMWI (UNAIDS)

Mhe. Modest J. Mero, Balozi wa kudumu, Ubalozi wa Tanzania, Geneva alipokutana na Bi. Jan Beagle, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalopambana na UKIMWI (UNAIDS), katika ofisi ya ubalozi wa Tanzania. Bi. Jan pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Bi. Jan alimtembelea Balozi kwa lengo la kumtaarifu juu ya majukumu ya bodi ya UNAIDS. Hii pia ni muendelezo wa mikutano ambayo Mhe Balozi anafanya na wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa yenye makao makuu hapa...

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Seif awaandalia Madaktari wa Kichina tafrija maalum ya kuwaaga

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwakaribisha Madaktari Mabingwa ya Jamuhuri ya Watu wa China waliowasili Zanzibar wiki iliyopita kushika nafasi ya wenzao waliomaliza muda wao wa miaka miwili.Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi na Mke wa Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar Bibi Xie Yun wakipata mlo katika tafrija walioandaliwa Madaktari mabingwa wa China waliomaliza muda na wale wapya hapo Mazizini nje kidogo ya mji wa Zanzibar.Balozi...

 

11 years ago

GPL

BALOZI MODEST MERO AFANYA MAZUNGUMZO NA MH. DKT. SEIF RASHID, WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Mh.Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii katika mazungumzo na Balozi Mero, kwenye makazi ya balozi, Geneva, Uswisi.
Wakijiandaa kupata mlo wa pamoja baaada ya mazungumzo…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani