BALOZI MULAMULA AKUTANA NA BALOZI WA SUDAN NCHINI
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohammed Ali alipokuja kumtembelea Wizarani na kufanya nae mazungumzo pamoja na kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje.
Katibu Mkuu, Balozi Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sudan, Dkt. Mohammed Ali. Kulia ni Afisa Mambo ya Nje, Bi. Talha Mohammed na kushoto ni Afisa kutoka Ubalozi wa Sudan ...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMH. MAKALLA AKUTANA NA BALOZI MULAMULA NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboBalozi Mulamula akutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa EU hapa nchini
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Z0dP2mSg4U8/VUtWEbcL01I/AAAAAAAA8qs/c37BjBKgXvw/s72-c/446.jpg)
BALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA BALOZI MALAWI NCHINI TANZANIA, PIA AZUNGUMZA NA GAVANA MKUU WA JIMBO LA SIUSTAN NA BALACHESTAN
![](http://1.bp.blogspot.com/-Z0dP2mSg4U8/VUtWEbcL01I/AAAAAAAA8qs/c37BjBKgXvw/s640/446.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-kUUQfzL_m08/VUtWDwYmJSI/AAAAAAAA8qo/9wUVpgBYG3k/s640/456.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-xG9UXjRoONk/VUtWEr1lsjI/AAAAAAAA8q0/mS76wPhdk48/s640/458.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zcfen7qB52M/VHahf8MGGKI/AAAAAAAGzr8/WtF599PtJ_4/s72-c/unnamed%2B(20).jpg)
BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE
10 years ago
VijimamboMHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE
Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...
10 years ago
VijimamboBalozi Mulamula azungumza na Balozi wa Ufaransa nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak, alipokuja kujitambulisha na kumpongeza Balozi Mulamula kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu. Pia walizungumzia masuala mbalimbali ya kimaendeleo na kukuza mahusiano ya kibiashara kati ya nchi hizi mbili
Katibu Mkuu Balozi Mulamula akimwonyesha Balozi Berak Kitabu kinachozungumzia maendeleo ya Mji wa Kilwa
.
Afisa Mambo ya Nje, Bi. Felisita...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU BALOZI MULAMULA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA QATAR NCHINI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lmm0fiL-JMY/VEjzJthOegI/AAAAAAAGs6M/SwBeA7Q-Qmc/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA BOTSWANA NCHINI,PIA AKUTANA NA BALOZI WA RWANZA NCHINI TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-lmm0fiL-JMY/VEjzJthOegI/AAAAAAAGs6M/SwBeA7Q-Qmc/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-i0DAZLpXP_k/VEjzK1awnMI/AAAAAAAGs6c/eP8mY-ztSAo/s1600/2.jpg)