BALOZI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA PPF, NA KUSIFU HUDUMA ZAKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-m343jdMLP5o/VYg4dOnr4lI/AAAAAAAAVLs/bArtQP6hYkM/s72-c/Erio_CHIEF%2BSECRETARY.jpg)
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, (aliyekaa), akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (kushoto), alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye wa Maonyesho ya Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam Juni 22, 2015
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, (CAG), Profesa Mussa J. Assad, (kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (kulia), wakati alipotembelea banda la PPF...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI,BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'CAG'
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...
11 years ago
GPLMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
Dewji Blog09 Jul
Balozi wa Tanzania nchini Ubeligiji, Mh. Kamala atembelea banda PPF Katika maonyesho ya Sabasaba
Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni, Lulu Mengele (kushoto) akimkaribisha Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji, Mh Dodorius Kamala (kulia) wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba yaliyomalizika jana.
Afisa Mafao wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Hellen Mollel akitoa maelezo kwa Balozi wa Tanzania nchini Ubeligiji, Mh Kamala juu ya wanachama wanavyonufaika na mafao wakati wanapostaafu kazini, Wa kwanza Kushoto ni Meneja Uhusiano na Masoko, Lulu Mengele.
Afisa...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI, BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'NHIF' KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA LEO
11 years ago
GPLBALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELIGIJI, MH. KAMALA ATEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
10 years ago
MichuziPPF YAWANOA WAAJIRI KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE MPYA IKIWEMO PPF TAARIFA APP
11 years ago
Michuzi01 Jul
Ankal atembelea banda la PPF kwenye maonesho ya sabasaba leo
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xsfNMw00nns/VaRA5S0TFrI/AAAAAAAHpgw/Oo3imtv-UIs/s72-c/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atembelea balozi wa Tanzania Uingereza jijini London
![](http://4.bp.blogspot.com/-xsfNMw00nns/VaRA5S0TFrI/AAAAAAAHpgw/Oo3imtv-UIs/s640/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-kmKG1pZqxxQ/VaRA7bIsdXI/AAAAAAAHpg4/SdCEn9K7g3U/s640/unnamed%2B%252812%2529.jpg)