Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Seif Iddi awapa somo wanaCCM Pemba

Balozi Seif Ali Iddi WANANCHI wa kisiwa cha Pemba wametakiwa kuunga mkono Katiba Inayopendekezwa ambayo imekuja na muundo wa Serikali mbili ambao ndiyo utakaowaunganisha wananchi na kuwa kitu kimoja na sio kuwagawa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Balozi Seif awapa somo watendaji

 Kukosekana kwa uhusiano mzuri kati ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala nchini, kunachangia kutopatikana huduma bora kwa jamii.

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi atembelea Kisiwa cha panza, Mkoa wa Kusini Pemba.

Na Othman Khamis Ame, OMPR  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Hakmashauri Kuu ya Taifa ya  CCM Balozi Seif Ali Iddi alisema Chama cha Mapinduzi kina wajibu wa kuhakikisha kinashinda kwenye uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2015 ili kiendelee kusimamia uhimili wa amani ya Taifa iliyopo hivi sasa. Balozi Seif alisema hayo wakati akizungumza na Viongozi pamojana Wana CCM wa Kisiwa Panza Wilaya ya Makoani Pemba mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Tawi la Chama cha Mapinduzi la Mtondooni Kisiwani...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF IDDI MGENI RASMI KWENYE MAHAFALI YA SHUO CHA ELIMU YA BIASHARA PEMBA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi tuzo na fedha taslim kijana Mohammed Suleiman Khalfan baada ya kuwa Mwanafunzi Bora wa Fani ya Hesabu katika chuo cha Elimu ya Biashara Pemba.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akimzawadia Tuzo na Fedha Taslim Mwanafunzi Bora wa Fani ya Mawasiliano ya Umma wa Chuo cha Elimu ya Biashara Pemba Nassor Mussa Khamis kwenye mahafali ya chuo hicho hapo Vitongoji Chake Chake Pemba.Wahitimu wa Chuo cha Elimu ya...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akagua ujenzi wa Bara bara ya Wete hado Konde,Pemba

Makamau wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akikagua ujenzi wa Bara bara ya Wete hado Konde ambao uko katika hatua ya lami alipokuwa Kisiwani Pemba kwa ziara ya Siku tatu kuagua shughuli mbali mbali za Maendeleo. Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Kamati ya Msikiti wa Ijumaa wa Micheweni Mjini Mkoa wa Kaskazini Pemba na kuwakumbusha waumini wa dini ya kiislamu kuendelea na ibada zao wakiepuka fitna za kuchanganya na siasa. Picha na Hassan Issa wa - OMPR - ZNZ.
Harakati za...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia aagana na balozi iddi seif zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Idd Seif akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima alipokwenda kumtembelea Ofisini kwake Zanzibar. Dkt. Mlima alikwenda kujitambulisha na kuwaaga viongozi wa Juu wa Kitaifa Zanzibar, na alikutana na Makamu wa Kwanza Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Seif Shariff Hamad. Dkt. Mlima aliteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kwenda kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

USHIRIKIANO: Balozi Taj awapa somo wafanyabiashara

>Wafanyabiashara wa Tanzania wamehamasishwa kushiriki katika maonyesho mbalimbali yanayoratibiwa na wenzao wa Ufaransa ili kujifunza na kuongeza tija katika uhusiano uliopo wa nchi hizi mbili.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake

Kampuni ya Ms Shimoja  yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan  Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA CUF MAALIM SEIF AWAPA SOMO WALIOONYESHA NIA YA KUWANIA UBUNGE, UWAKILISHI NA UDIWANI UNGUJA

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wagombea wa Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wa CUF katika ukumbi wa Majid, Kiembesamaki. Mkurugenzi wa Mipango na Chaguzi wa CUF Omar Ali Shehe akizungumza katika mkutano na wagombea wa Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wa CUF katika ukumbi wa Majid, Kiembesamaki.
Baadhi ya wagombea Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wa CUF Unguja wakijitokeza kwenye mkutano huo (Picha na Salmin Said, OMKR)

      Na: Hassan Hamad, OMKR 

Katibu Mkuu wa Chama Cha...

 

9 years ago

Mwananchi

CUF yamkana Balozi Seif Iddi

Chama cha Wananchi CUF kimemkana Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kikieleza kuwa msimamo wake wa kukataa kurudiwa kwa uchaguzi visiwani humo uko palepale.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani