Balozi za Tanzania nje hali tete
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Kidawa Hamid Saleh amesema majengo ya ofisi nyingi za balozi za Tanzania nje ya nchi, zinahitaji ukarabati au kujengwa upya kwa sababu yaliyopo sasa ni mabovu na ni hatari kwa maisha ya watu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Mar
Hali tete uhusiano Kenya, Tanzania
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Hali tete TanzaniteOne
HALI ya mambo si shwari ndani ya kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite ya TanzaniteOne, iliyo
Paul Sarwatt
10 years ago
Mtanzania14 May
HALI TETE BURUNDI
Waandishi Wetu, Bujumbura na Dar
JARIBIO la mapinduzi lilifanyika jana nchini Burundi kumpindua Rais Pierre Nkurunzinza kupinga mpango wake wa kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Maelfu ya watu walimiminika katika mitaa ya mji mkuu wa taifa hilo, Bujumbura, kushangilia tangazo la mapinduzi lililotolewa na Meja Jenerali Godefroid Niyombare.
Hata hivyo, matokeo ya mapinduzi hayo yalikuwa mbali na uhalisia.
Uamuzi wa Jenerali Niyombareh ambaye alitimuliwa na Nkurunzinza kama mkuu wa usalama...
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Hali tete Zanzibar
Na Is-haka Omar, Zanzibar
HALI ya usalama visiwani Zanzibar imechafuka baada ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), kuvamiwa na kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kutokana na vurugu hizo, watu 25 waliokuwa wakitokea katika mkutano wa CUF uliokuwa unafanyika Makunduchi, Wilaya ya Kusini Unguja wamejeruhiwa, huku wanne kati yao wakilazimika kuhamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Hali tete Msimbazi
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
hali tete TanzaniteOne -2
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene mwishoni mwa wiki (Ijumaa iliyopita) alifanya zi
Paul Sarwatt
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0qR8BrPZ-Vbfyj5mw6TM8j1NntAbYVmxZQbZZIzBchOFT7Qga3ALfuBsmSprQuR2Uxp0z46A2xBX3s8xaJx8QbtSyGCGhO0m/NsaJob.jpg?width=650)
MCHEZAJI WA YANGA HALI TETE
10 years ago
BBCSwahili17 May
Hali bado ni tete Burundi
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Wafungwa Keko hali tete
MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimewaweka mahabusu na wafungwa katika Gereza la Keko katika hali ngumu kutokana na gereza hilo kuvuja. Habari kutoka kwa askari magereza wa gereza...