Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ban Ki Kuchunguza Mashambulizi:Ghaza

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon anatarajia kuanzisha uchunguzi kuhusu vitendo vya mashambulizi Ghaza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Israel yatekeleza mashambulizi Ghaza

Israel inasema kuwa imetekeleza mashambulizi ya roketi katika eneo la Ghaza ili kulipiza kisasi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ban Ki alaumu mashambulizi ya shule

Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-Moon amelaumu mashambulizi ya Israel dhidi ya Shule ya Umoja wa Mataifa iliyoko Gaza.

 

10 years ago

Vijimambo

BAN KI MOON ASIKITISHWA NA ONGEZEKO LA MASHAMBULIZI DHIDI YA WALINZI WA AMANI NA WATOA MISAADA YA KIBINADAMU

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon pamoja na washiriki wa hafla ya kuwakumbuka walinzi wa amani wakisimama kwa dakika moja kuwaenzi walinzi wa amani na watoa misaada ya kibinadamu ambao ni wafanyakazi wa umoja wa mataifa waliopoteza maisha wakati wa tetemeko kubwa la ardhi lililotokea nchini Haiti mwaka 2010 na wale ambao wamepoteza maisha kati ya Octoba 2013 na Novemba 2014.Ban Ki Moon akizungumza wakati wa hafla hiyo ambayo iliibua hisia na majonzi makubwa miongoni wa...

 

10 years ago

Michuzi

Ban Ki Moon asikitishwa na ongezeko la mashambulizi dhidi ya walinzi wa amani na watoaji wa misaada ya kibinadamu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon pamoja na washiriki wa hafla ya kuwakumbuka walinzi wa amani wakisimama kwa dakika moja kuwaenzi walinzi wa amani na watoa misaada ya kibinadamu ambao ni wafanyakazi wa umoja wa mataifa waliopoteza maisha wakati wa tetemeko kubwa la ardhi lililotokea nchini Haiti mwaka 2010 na wale ambao wamepoteza maisha kati ya Octoba 2013 na Novemba 2014.
Ban Ki Moon akizungumza wakati wa hafla hiyo ambayo iliibua hisia na majonzi makubwa miongoni wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi yaendelea Ukrain

Ukrain inasema kuwa mmoja wa wanajeshi wake ameuawa na wengine 14 kujeruhiwa kwenye mashambulizi mapya yanayoendeshwa na waasi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi yalaaniwa Syria

Umoja wa mataifa,walaani mashambulizi yanayoendelea dhidi ya Raia nchini Syria

 

11 years ago

BBCSwahili

Picha za mashambulizi Mpeketoni

Watu 48 wameuawa na washambuliaji bado hawajulikani 'TAHADHARI BAADHI YA PICHA ZINAOGOFYA'

 

10 years ago

GPL

MAPYA YAIBUKA MASHAMBULIZI

Na Haruni Sanchawa TUKIO la abiria Mosha Mahona kuwajeruhi abiria wenzake watano aliokuwa nao ndani ya daladala lililokuwa gumzo wiki iliyopita jijini Dar, nyuma ya tukio hilo mapya yameibuka, Uwazi linakujuza. Tukio hilo lililotokea Julai 23, mwaka, Mosha alikuwa amepanda daladala hilo akitokea Posta kuelekea Ubungo Simu 2000, alipofika maeneo ya Jangwani akaanza kuwachoma visu abiria wenzake kisha na yeye kuuawa na abiria....

 

9 years ago

Habarileo

Serikali kuchunguza shisha

KATIBU Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Donan Mmbando ameitaka ofisi ya mkemia mkuu kuchunguza kilevi aina ya shisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani