Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baridi kali yatokota Marekani

Msimu wenye maridi kali kuwahi kushuhudiwa nchini Marekani katika miaka 20 iliyopita, unaelekea kupiga maeneo ya Kusini na Mashariki mwa nchi hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HALI YA HEWA YA UNYEVUNYEVU NA BARIDI KALI YA SABABABISHA AJALI BARABARANI

 Magari yakienda taratibu baada ya ajali gari tatu kutereza na kugonga kingo ya ukuta ya outer loop Beltway ya 495 mida ya asaubuhi mapema leo Jumapili Januari 4, 2015 maeneo ya Sliver SpringMoja ya gari aina ya Honda Accord ikiwa imegongo kingo ya ukuta wa Outer Loop ya Beltway ya 495 katikati ya barabara ya Georgia Ave na Connecticut mapema leo asubuhi ya Jumapili Januari 4, 2015.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: China yaionya Marekani dhidi ya kusababisha vita baridi

Waziri wa masuala ya kigeni nchini China ameishutumu Marekani kwa kueneza dhana potofu na uongo kuhusu virusi vya corona hatua inayozua hofu kati ya mataifa hayo mawili.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mtaalamu wa chanjo 'aliyefutwa kazi' asema Marekani itakabiliwa na hali mbaya zaidi katika majira ya baridi

Afisa wa zamani wa ngazi ya juu wa afya nchini Marekani ameliambia bunge la kongresi kuwa nchi inaweza kukabiliwa na "kipindi kibaya zaidi cha majira ya baridi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya hivi karibuni " kwa sababu ya virusi vya corona.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hali yatokota mjini Kiev, Ukraine

Upinzani huko Ukrain umeapa kutotoka uwanja wa uhuru wanakoendeleza maandamano dhidi ya serikali

 

11 years ago

BBCSwahili

Syria:Hali yatokota amani ikisubiriwa

Wajumbe wa Marekani na Urusi wanatarajiwa kujiunga na mazungumzo ya amani yanayolenga kusitisha vita huku mapigano yakichacha

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Madaktari: Baridi itawajenga Simba

Simba ipo Lushoto Tanga ilikopiga kambi wakati Azam ikitarajia kuweka kambi jijini humo kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu Bara na Kombe la Kagame.

 

10 years ago

Vijimambo

MSIMU WA BARIDI WAANZA KIWANJA

 Wadau mbalimbali waliofika nje ya  City Place Mall Silver Spring, Maryland pembezoni mwa barabara ya Fenton wakifanya utelezi kwenye barafu ( Ice Skating ) kwenye msimu huu wa baridi ambao watabiri wa hali ya hewa wamesema mwaka huu baridi itakua kali sana humo ndni utawakuta wadau mbalimbali wengine wakijufunza utelezi huo kwenye barafu huku wakipata usaidizi wa wenzao. Watoto nao wakijifunza utelezi kwenye barafu huku akijishikiza kwenye kingo za uwanja huo. Wadau mbalimba waliofika...

 

11 years ago

BBCSwahili

Jifahamishe Olimpiki majira ya baridi

Zaidi ya wanajeshi alfu 40 wametumwa kushika doria wakati wa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi mjini Sochi Urusi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani