MSIMU WA BARIDI WAANZA KIWANJA
Wadau mbalimbali waliofika nje ya City Place Mall Silver Spring, Maryland pembezoni mwa barabara ya Fenton wakifanya utelezi kwenye barafu ( Ice Skating ) kwenye msimu huu wa baridi ambao watabiri wa hali ya hewa wamesema mwaka huu baridi itakua kali sana humo ndni utawakuta wadau mbalimbali wengine wakijufunza utelezi huo kwenye barafu huku wakipata usaidizi wa wenzao. Watoto nao wakijifunza utelezi kwenye barafu huku akijishikiza kwenye kingo za uwanja huo. Wadau mbalimba waliofika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Coronavirus:Wauguzi wa wagonjwa waliombukizwa virusi vya corona Kenya waanza mgomo baridi
10 years ago
VijimamboMsimu wa pili wa Darasa la Kiswahili waanza rasmi DMV
Awamu ya pili ya Darasa la Kiswahili kwa watoto waishio Washington DC na vitongoji vyake umeanza Jumamosi ya Januari 24, 2015. Rais wa Jumuiya Bw Iddi Sandaly alipata fursa ya kuzungumza nasi kwa ufupi kuhusu darasa hilo.
Karibu umsikilize
Sehemu ya wanafunzi wakimsikiliza Mwalimu Asha Nyang'anyi. Kushoto kwake ni Katibu wa Jumuiya ya waTanzania hapa DMV Said MwamendeBaadhi ya...
10 years ago
Michuzi17 Apr
KIWANDA CHA TUMBAKU MOROGORO CHAFANYA SHERERE KUFUNGA MSIMU NA KUFUNGUA MSIMU MPYA
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Walipachika mabao msimu uliopita, msimu huu chali
11 years ago
BBCSwahili07 Jan
Baridi kali yatokota Marekani
11 years ago
BBCSwahili07 Feb
Jifahamishe Olimpiki majira ya baridi
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Madaktari: Baridi itawajenga Simba
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Mgomo baridi wadaiwa kuendelea TRL