Mgomo baridi wadaiwa kuendelea TRL
Wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wapo katika mgomo baridi baada ya menejimenti ya kampuni hiyo kushindwa kuwalipa malimbikizo ya madai yao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Coronavirus:Wauguzi wa wagonjwa waliombukizwa virusi vya corona Kenya waanza mgomo baridi
Wauguzi wanaofanya kazi katika wodi iliyotengwa kwa watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya wameanza mgomo baridi kulalamikia kile wanachodai kuwa ukuosefu wa vifaa vya kujikinga na mafunzo ya kutosha.
10 years ago
Mwananchi30 Oct
TRL watangaza mgomo rasmi kwa Serikali
Wafanyakazi wa Shirika la Reli (TRL) wametangaza rasmi mgomo usio na mwisho wakiishinikiza Serikali iwalipe nyongeza za mishahara yao pamoja na malimbikizo.
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Katibu mkuu aanza kazi kwa mgomo TRL
Katibu Mkuu wa Uchukuzi, Dk Leonard Chamuliho ameingia ofisini kwa mara ya kwanza jana na kukabiliana na mgomo wa wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wanaoshinikiza kulipwa stahiki zao.
11 years ago
MichuziMgomo baridi wa usafiri BAADA YA DALADALA DAR ES SALAAM KUZUIWA KUTUMIA KITUO CHA MWENGE NA KUTUMIA CHA MAKUMBUSHO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k3cBIFaWRtk/XrmRF6RIO2I/AAAAAAALp1U/ZSFE1fd_lF4pWYDRRlKLk_aHxlSmFU45QCLcBGAsYHQ/s72-c/Liquid-Telecom-Gen-Z-report.jpg)
KAMPUNI YA LIQUID TELECOM'S KUENDELEA KUZIUNGANISHA KIDIGITAL NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA ILI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
![](https://1.bp.blogspot.com/-k3cBIFaWRtk/XrmRF6RIO2I/AAAAAAALp1U/ZSFE1fd_lF4pWYDRRlKLk_aHxlSmFU45QCLcBGAsYHQ/s320/Liquid-Telecom-Gen-Z-report.jpg)
KAMPUNI ya Liquid Telecom's Afrika Mashariki imezihakikishia nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuendelea kufanya kazi zake kwa ukaribu na kawaida kupitia mgongo wake wa jumuiya ya nchi hizo katika mabadiliko yake ya kidigitali chini ya mwezi wa mmoja kutokana na janga la COVID- 19
Kwa mujibu wa kampuni imeeleza kuwa ndiyo inayoongoza katika mawasiliano na imewezesha wanachama wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanya kazi kwa ukaribu na kawaida licha ya...
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Madaktari: Baridi itawajenga Simba
Simba ipo Lushoto Tanga ilikopiga kambi wakati Azam ikitarajia kuweka kambi jijini humo kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu Bara na Kombe la Kagame.
11 years ago
BBCSwahili07 Feb
Jifahamishe Olimpiki majira ya baridi
Zaidi ya wanajeshi alfu 40 wametumwa kushika doria wakati wa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi mjini Sochi Urusi.
10 years ago
VijimamboMSIMU WA BARIDI WAANZA KIWANJA
11 years ago
BBCSwahili07 Jan
Baridi kali yatokota Marekani
Msimu wenye maridi kali kuwahi kushuhudiwa nchini Marekani katika miaka 20 iliyopita, unaelekea kupiga maeneo ya Kusini na Mashariki mwa nchi hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania