Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRL watangaza mgomo rasmi kwa Serikali

Wafanyakazi wa Shirika la Reli (TRL) wametangaza rasmi mgomo usio na mwisho wakiishinikiza Serikali iwalipe nyongeza za mishahara yao pamoja na malimbikizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Katibu mkuu aanza kazi kwa mgomo TRL

Katibu Mkuu wa Uchukuzi, Dk Leonard Chamuliho ameingia ofisini kwa mara ya kwanza jana na kukabiliana na mgomo wa wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wanaoshinikiza kulipwa stahiki zao.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yaipa Taboa wiki mbili, mgomo wasitishwa rasmi

Dar es Salaam. Serikali imewapa Wamiliki wa Mabasi (Taboa) wiki mbili za kutafakari namna gani watapata hasara, iwapo watatumia nauli mpya zilizopendekezwa na Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wamiliki mabasi watangaza mgomo

CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kimetangaza kusitisha huduma za usafiri nchi nzima keshokutwa endapo madai yao ya msingi hayatashughulikiwa na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgomo baridi wadaiwa kuendelea TRL

Wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wapo katika mgomo baridi baada ya menejimenti ya kampuni hiyo kushindwa kuwalipa malimbikizo ya madai yao.

 

10 years ago

Vijimambo

BODA BODA MBEYA WATANGAZA MGOMO WA KUTOBADILISHA NAMBA ZA PIKIPIKI


MWENYEKITI wa chama cha Bodaboda mkoa wa Mbeya, VICENT MWASHOMA.KATIBU wa Bodaboda mkoa wa Mbeya, MSUMBA MDESA, akitoa tamko kwa niaba ya waendesha Boda boda mkoa wa Mbeya.
Mabango yakafuata na kuanza kusema kama yanavyosomeka hapo chini. BAADA ya mabango na tamko, wakaonesha wamekubaliana, kisha yakafuata makofi kutoka kwa viongozi wengine ambao walikusanyika leo katika ukumbi wa Coffee Garden Jijini Mbeya. Baadhi ya viongozi kutoka wilaya zote za mkoa wa Mbeya, wakisikiliza wakati viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA MADEREVA WAISHA KWA MUAFAKA WA MADAI YAO KUSHUGHULIKIWA NA SERIKALI


Na Bakari Issa MajeshiMgomo wa Madereva uliodumu  kwa takriban siku moja na ushee, hatimaye umepata muafaka baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Paul Makonda (pichani) kufanikiwa kuusuluhisha kwa kusaini makubaliano na Uongozi wa Chama cha Madereva.Makubaliano hayo yaliitaka Serikali kuboresha  Mikataba kwa Madereva, malipo kwa madereva hao, pamoja na tatizo la ukaguzi wa magari ili kuondoa usumbufu kwa madereva hao, na kuiomba Serikali kufanya ukaguzi huo kwa siku moja tu.Akizungumza...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyakazi wa TRL waiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya malimbikizo

Wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa malipo ya malimbikizo ya mshahara wao wa miezi mitano wanaoudai uongozi wa kampuni hiyo.

Wafanyakazi wa kampuni hiyo wametishia kwenda Ikulu kumuona Rais John Magufuli iwapo hawatolipwa malimbikizo ya jumla ya Shilingi Bilioni 2.4 ya kuanzia Julai hadi Novemba 2014.

Wafanyakazi hao wa Kampuni ya Reli nchini waliimba wimbo wa mshikamano baada ya uongozi wa kampuni kuondoka katika mkutano baina yao...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yazima mgomo wa wapagazi

SERIKALI imetangaza kusitisha mgomo wa wapagazi wa mlima Kilimanjaro, uliokuwa unatarajiwa kuanza kwa kushirikisha zaidi ya wapagazi 15,000 wa Mlima Kilimanjaro na Meru.

 

11 years ago

Michuzi

Tamko Rasmi la watanzania wa Washington DC, Maryland na Virginia kwa Bunge la Katiba na Serikali


Sisi watanzania wa Washington DC, Maryland na Virginia pamoja na vizazi vyetu tunapenda kutoa pongezi kwa Serikali yetu ya Tanzania kwa Mchakato mzima wa Katiba mpya unaoendelea.


Tunapenda Kutoa Tamko Rasmi kwa Bunge la Katiba na Serikali kutoa haki ya Uraia kwa Watanzania Wote popote walipo Duniani. Uraia Wa Mtanzania aliezaliwa Tanzania na Kizazi chake usijali hali na mahala alipo Mtanzania Huyo.


Kutokubaguliwa kwetu kwenye swala hili la Haki ya Kuzaliwa na Kuruhusiwa kwa Uraia Pacha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani