Syria:Hali yatokota amani ikisubiriwa
Wajumbe wa Marekani na Urusi wanatarajiwa kujiunga na mazungumzo ya amani yanayolenga kusitisha vita huku mapigano yakichacha
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
Hali yatokota mjini Kiev, Ukraine
Upinzani huko Ukrain umeapa kutotoka uwanja wa uhuru wanakoendeleza maandamano dhidi ya serikali
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Hali ya raia wa Syria si ya kuridhisha
watu milioni kumi na mbili nchini Syria watahitaji misaada wakati wa majira ya baridi.
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
Hali ya kibinadamu yazorota Raqqa,Syria
Mkaazi mmoja wa ngome kuu ya wapiganaji wa Islamic State huko Syria katika jiji la Raqq ameambia BBC kuwa hali ya kibinadamu imezorota sana.
10 years ago
BBCSwahili12 Aug
Syria:Makubaliano ya amani yatekelezwa
Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa saa 48 yameanza kufanya kazi kati ya muungano wa waasi Syria na vikosi vinavyoiunga serikali mkono katika miji mitatu.
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Walinda amani wasambazwa-Syria
Umoja wa mataifa imesambaza maelfu ya walinda amani huko Syria katika eneo la Golan ambalo linamilikiwa na Israel.
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wapinzani Syria wataka amani
Makundi ya upinzani nchini Syria wamekubaliana kuwa na tamko moja kwa serikali juu ya suala la Amani .
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Papa Francis aombea amani Syria na Libya
Papa Francis ameombea kufanikiwa kwa juhudi za Umoja wa Mataifa za kutafuta amani nchini Syria na Libya kwenye ujumbe wake wa Krismasi.
11 years ago
BBCSwahili07 Jan
Baridi kali yatokota Marekani
Msimu wenye maridi kali kuwahi kushuhudiwa nchini Marekani katika miaka 20 iliyopita, unaelekea kupiga maeneo ya Kusini na Mashariki mwa nchi hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania